Taifa la watu masikini kodi ni kiduchu

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,299
2,000
Taifa lolote lenye GDP ndogo watu wake wengi ni masikini and hence low purchasing power.

VAT Ni kodi inayolipwa na consumer ambayo ndio hawa masikini

Sasa, ili nchi iendelee, inatakiwa kukuza Sekta za uzalishaji zinazogusa watu wengi (Agriculture and Tourism).

Bila Shaka Tanzania ni nchi masikini Kusini mwa Janga la Sahara, hata Kenya wana GDP kubwa kuliko Tanzania. Hivyo basi, tuwe wawazi kabisa, Tanzania bado inahitaji misaada.

Nini kimesababisha Tukose Msaada?

Ni Nani anawatesa Watanzania?

Hii kelele ya makinia tumeibiwa ni usanii mtupu! Madini hayana mchango kwenye uchumi mpana wa Watanzania.

Kwanza wao ndio walisaini hii mikataba...

Pili Makampuni ya madini wananunua vyakula na Nyama nje ya nchi...

---Sioni Juhudi za Serikali katika kuinua uchumi? Juhudi zipi sasa? Kilimo kimeachwa kife na wakulima wateseke

hakuna miundo mbinu ya Umwagiliaji

Viwanda vitakufa bila Kilimo imara

Nimekosoa kwa hoja....
 

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,299
2,000
Ng'ombe ili akamuliwe shurti apewe Chakula

Sasa serikali imeshindwa kupima ardhi na viwanja ila wanataka kodi...Shame

Kodi za kuagiza gari ni kubwa mno.....barabarani mmezidi kwa Faini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom