Hamna cha Taifa changa, Namibia/South Africa watasema nini tuwaite mimba inayoyarajiwa kuzaliwa ? hii nchi kwa kweli haina watu wazalendo kwa kifupi haina watu.Ukiwapa nchi hii hii Waswisi au wakorea baada ya miaka kumi unaweza kuishangaa kwa hatua iliyofikia tunaweza kuwa tunazikopesha nchi jirani na inabidi tukatae maombi mengine ya Visa kwa jinsi kila mtu anavyotaka kuja hapa.