Jiwe amelazimisha mabenki yalangishwe kwenye majengo hayo ili pesa ya kulipa wastaafu ipatikanenssf haina hela.. zimejenga maghorofa hakuna wapangaji..
wamebaki wanategemea daraja tu... hapo hapo wanalipana maposho wenyewe
Bado ni uonevu sababu hele ikiingia benki siku hizi makato yamekuwa makubwa hivyo watapata pungufu ya waliozoea kupataLeo imezuka taharuki NSSF makao makuu pale wazee wastaafu walipokusanyika kudai pension yao ya mwezi january ambapo fedha yao kwa utaratibu mpya zinaenda kwenye benki zao walipofungua akaunti zao.Akaunti zilifunguliwa wakati wa uhakiki hivi karibuni.
Wazee wale kila mmoja alikuwa akiongea lake wengine wakiwa nje ya ofisi ghorofa ya 10 wakitaka waruhusiwe kuingia ndani huku wakiambiwa wasubiri.Walikuwa pale kuanzia majira ya saa 4 hadi saa saba alipojitokeza mfanyakazi mwananamama akiwaambia wote wakusanyike pamoja ghorofa ya 4 awape maelezo kwa pamoja.
Kule waliambiwa ni taratibu tu za kibenki lakini fedha yao itaenda kwamba wao Nssf walishapeleka NBC na CRDB .Utaratibu wa kuhamishia benki zingine ni wa kibenki.
Sasa kwa hili lina ukakasi kwa sababu Nssf walitakiwa watoe taarifa mapema kwa ujumla kwani vyombo vya habari vipo vingi tu. Sasa wastaafu waliopo mikoani nao waje Dar kupata ufafanuzi ?
Jirekebisheni Nssf.Kwa maneno niliyoyasikua leo kwa wazee wale, hakika mnawajengea chuki na serikali yao bila sababu.
Taharuki unajua maana yake?
nssf haina hela.. zimejenga maghorofa hakuna wapangaji..
wamebaki wanategemea daraja tu... hapo hapo wanalipana maposho wenyewe
PSSSF ilisema itwalipa wastaafu Mwezi Januari waliostaafu kuishia 30/8/2018 lakini mpaka leo hawajawalipa kumbukeni Hawa Wastaafu hawana kipato na wamelitumikia Taifa hili kwa uaminifu na nyie mtakuja kuwa Wastaafu.Leo imezuka taharuki NSSF makao makuu pale wazee wastaafu walipokusanyika kudai pension yao ya mwezi january ambapo fedha yao kwa utaratibu mpya zinaenda kwenye benki zao walipofungua akaunti zao.Akaunti zilifunguliwa wakati wa uhakiki hivi karibuni.
Wazee wale kila mmoja alikuwa akiongea lake wengine wakiwa nje ya ofisi ghorofa ya 10 wakitaka waruhusiwe kuingia ndani huku wakiambiwa wasubiri.Walikuwa pale kuanzia majira ya saa 4 hadi saa saba alipojitokeza mfanyakazi mwananamama akiwaambia wote wakusanyike pamoja ghorofa ya 4 awape maelezo kwa pamoja.
Kule waliambiwa ni taratibu tu za kibenki lakini fedha yao itaenda kwamba wao Nssf walishapeleka NBC na CRDB .Utaratibu wa kuhamishia benki zingine ni wa kibenki.
Sasa kwa hili lina ukakasi kwa sababu Nssf walitakiwa watoe taarifa mapema kwa ujumla kwani vyombo vya habari vipo vingi tu. Sasa wastaafu waliopo mikoani nao waje Dar kupata ufafanuzi ?
Jirekebisheni Nssf.Kwa maneno niliyoyasikua leo kwa wazee wale, hakika mnawajengea chuki na serikali yao bila sababu.
Taharuki unajua maana yake?
Wakachukue bungeni!Leo imezuka taharuki NSSF makao makuu pale wazee wastaafu walipokusanyika kudai pension yao ya mwezi january ambapo fedha yao kwa utaratibu mpya zinaenda kwenye benki zao walipofungua akaunti zao.Akaunti zilifunguliwa wakati wa uhakiki hivi karibuni.
Wazee wale kila mmoja alikuwa akiongea lake wengine wakiwa nje ya ofisi ghorofa ya 10 wakitaka waruhusiwe kuingia ndani huku wakiambiwa wasubiri.Walikuwa pale kuanzia majira ya saa 4 hadi saa saba alipojitokeza mfanyakazi mwananamama akiwaambia wote wakusanyike pamoja ghorofa ya 4 awape maelezo kwa pamoja.
Kule waliambiwa ni taratibu tu za kibenki lakini fedha yao itaenda kwamba wao Nssf walishapeleka NBC na CRDB .Utaratibu wa kuhamishia benki zingine ni wa kibenki.
Sasa kwa hili lina ukakasi kwa sababu Nssf walitakiwa watoe taarifa mapema kwa ujumla kwani vyombo vya habari vipo vingi tu. Sasa wastaafu waliopo mikoani nao waje Dar kupata ufafanuzi ?
Jirekebisheni Nssf.Kwa maneno niliyoyasikua leo kwa wazee wale, hakika mnawajengea chuki na serikali yao bila sababu.
Hilo neno Taharuki litoe mana washaambiwa ni utaratibu wa kibenki lakin wanalipwa pesa zao
Sent using Jamii Forums mobile app
We mama tafadhali futa kauli yako mimi sio mpambe wa ccm..hao ndugu wastaafu ninao hata mzaz mstaafu ninae ila kulundikana sio sababu kubwa kikubwa wapate stahiki zao kwa muda unaotakiwa huko kulundikana sababu ya uwingi waoyaan wewe!mpambe wa ccm..kwa kila kitu...hunaga ht muda wa kureason..!nadhan huna ndugu mstaafu..ungewaona benk za posta wanaojilundika...wanatia huruma wamekosa matumaini kbs..alafu wa unakuj nA mambo ya ajabu ajabu hapa[emoji856][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]
We mama tafadhali futa kauli yako mimi sio mpambe wa ccm..hao ndugu wastaafu ninao hata mzaz mstaafu ninae ila kulundikana sio sababu kubwa kikubwa wapate stahiki zao kwa muda unaotakiwa huko kulundikana sababu ya uwingi wao
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha sijalisikia siku nyingi kidogo hili neno mabeberu
kikokotoo kimefutwa lkn bado wanaleta magumashi.... nipeni namba ya waziriLeo imezuka taharuki NSSF makao makuu pale wazee wastaafu walipokusanyika kudai pension yao ya mwezi January ambapo fedha yao kwa utaratibu mpya zinaenda kwenye benki zao walipofungua akaunti zao.Akaunti zilifunguliwa wakati wa uhakiki hivi karibuni.
Wazee wale kila mmoja alikuwa akiongea lake wengine wakiwa nje ya ofisi ghorofa ya 10 wakitaka waruhusiwe kuingia ndani huku wakiambiwa wasubiri.
Walikuwa pale kuanzia majira ya saa 4 hadi saa saba alipojitokeza mfanyakazi mwananamama akiwaambia wote wakusanyike pamoja ghorofa ya 4 awape maelezo kwa pamoja.
Kule waliambiwa ni taratibu tu za kibenki lakini fedha yao itaenda kwamba wao Nssf walishapeleka NBC na CRDB .Utaratibu wa kuhamishia benki zingine ni wa kibenki.
Sasa kwa hili lina ukakasi kwa sababu Nssf walitakiwa watoe taarifa mapema kwa ujumla kwani vyombo vya habari vipo vingi tu. Sasa wastaafu waliopo mikoani nao waje Dar kupata ufafanuzi ?
Jirekebisheni Nssf.Kwa maneno niliyoyasikua leo kwa wazee wale, hakika mnawajengea chuki na serikali yao bila sababu.
yaan wewe!mpambe wa ccm..kwa kila kitu...hunaga ht muda wa kureason..!nadhan huna ndugu mstaafu..ungewaona benk za posta wanaojilundika...wanatia huruma wamekosa matumaini kbs..alafu wa unakuj nA mambo ya ajabu ajabu hapa🤕🤕🤕🤕🤕
PSSSF ilisema itwalipa wastaafu Mwezi Januari waliostaafu kuishia 30/8/2018 lakini mpaka leo hawajawalipa kumbukeni Hawa Wastaafu hawana kipato na wamelitumikia Taifa hili kwa uaminifu na nyie mtakuja kuwa Wastaafu.
Sent using Jamii Forums mobile app