mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,144 Sep 17, 2016 #21 Mwanaume wa dar huyo
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 22,653 Reaction score 34,442 Sep 17, 2016 #22 mjingamimi said: mkija na Mabegi yenu mnaliaga pale ubungo.alaf hapa mnajifanya wajanja.. Click to expand... Hahahahaha acha madongo
mjingamimi said: mkija na Mabegi yenu mnaliaga pale ubungo.alaf hapa mnajifanya wajanja.. Click to expand... Hahahahaha acha madongo
I isky JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 884 Reaction score 738 Sep 17, 2016 #23 Hali hii ni mbaya serekali inabidi kulifanyia kazi suala hili la hawa vijana na matukio kama hayo yakuvamia nyumba/mtaa usiku na kupora mali.
Hali hii ni mbaya serekali inabidi kulifanyia kazi suala hili la hawa vijana na matukio kama hayo yakuvamia nyumba/mtaa usiku na kupora mali.
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,378 Sep 18, 2016 #24 isky said: Hali hii ni mbaya serekali inabidi kulifanyia kazi suala hili la hawa vijana na matukio kama hayo yakuvamia nyumba/mtaa usiku na kupora mali. Click to expand... Mwanaume wa dar katika ubora wako...kila kitu serikali mnashindwa kuchukua fimbo na kuwacharaza hao watoto
isky said: Hali hii ni mbaya serekali inabidi kulifanyia kazi suala hili la hawa vijana na matukio kama hayo yakuvamia nyumba/mtaa usiku na kupora mali. Click to expand... Mwanaume wa dar katika ubora wako...kila kitu serikali mnashindwa kuchukua fimbo na kuwacharaza hao watoto
C Chitembwele Mbuvu Member Joined Jun 14, 2016 Posts 34 Reaction score 13 Sep 18, 2016 #25 Hao panya njia ni vijipu uchungu vitumbuliwe haraka!
desertambush Senior Member Joined Feb 16, 2016 Posts 107 Reaction score 63 Sep 18, 2016 #26 kikurunge said: Watuletee hivyo vitoto maeneo ya nyakato Musoma waone kama hatugawana nyama zao. Click to expand... Huko Kitunda asilimia kubwa ya wakaazi ni hao ndugu zako wa Musoma, acha kujisifu Kihaya wewe.
kikurunge said: Watuletee hivyo vitoto maeneo ya nyakato Musoma waone kama hatugawana nyama zao. Click to expand... Huko Kitunda asilimia kubwa ya wakaazi ni hao ndugu zako wa Musoma, acha kujisifu Kihaya wewe.
I isky JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 884 Reaction score 738 Sep 18, 2016 #27 Mr. MTUI said: Mwanaume wa dar katika ubora wako...kila kitu serikali mnashindwa kuchukua fimbo na kuwacharaza hao watoto Click to expand... Hili suala c mzaha kama mnavyochukulia watu wanapoteza maisha na mali zao. Hata kama wewe c wa Dar ipo siku litakugusa kwa namba moja ama nyingine. Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
Mr. MTUI said: Mwanaume wa dar katika ubora wako...kila kitu serikali mnashindwa kuchukua fimbo na kuwacharaza hao watoto Click to expand... Hili suala c mzaha kama mnavyochukulia watu wanapoteza maisha na mali zao. Hata kama wewe c wa Dar ipo siku litakugusa kwa namba moja ama nyingine. Sent from my SM-J100FN using JamiiForums mobile app
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,129 Reaction score 8,378 Sep 18, 2016 #28 Nyie si mnajifanyaga mnawakashifu polisi jwenye keyboard huku mnakula chips...haya sasa onyesheni uanaume wenu...
Nyie si mnajifanyaga mnawakashifu polisi jwenye keyboard huku mnakula chips...haya sasa onyesheni uanaume wenu...