simon mato
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 926
- 485
panya road siku hizi wanatumia mtutu?.Ndugu wana JF,
Risasi zinarindima maeneo haya ya kitunda huku vyanzo vya taarifa vikisema kuwa ni PANYARODI tusubirie updates kamili
Inaonekana Polisi walikuwa wanatumia mtutu kuwatawanyapanya road siku hizi wanatumia mtutu?.
hao jamaa kwa jinsi wanavyosumbua siku wakipata silaha za moto kuwamaliza itachukuwa mda,ila lawama naipeleka kwa wakaaji wa dar yaani ni waoga mithili ya fisi.Inaonekana Polisi walikuwa wanatumia mtutu kuwatawanya
Mkuu chakushangaza wanaume wa dar wanajisifia kuwa na kifua wao wanaita six pack.sasa sijui hicho ni kwa ajili ya nini badala ya mambo ya kiusalama.Wanaume wa dar bhana!! Wanachojua nikunywa supu ya pweza, chips nakunenepesha vifua, wakisikia panya road wanakimbia
So sad kwa kweliMkuu chakushangaza wanaume wa dar wanajisifia kuwa na kifua wao wanaita six pack.sasa sijui hicho ni kwa ajili ya nini badala ya mambo ya kiusalama.
Watuletee hivyo vitoto maeneo ya nyakato Musoma waone kama hatugawana nyama zao.hao jamaa kwa jinsi wanavyosumbua siku wakipata silaha za moto kuwamaliza itachukuwa mda,ila lawama naipeleka kwa wakaaji wa dar yaani ni waoga mithili ya fisi.
Hivi kwa tukio la namna hiyo wanamme wote tuseme wa mtaa mzima wakapiga yowe na kuvizunguka hivyo vitoto,unadhani havitalia kabla hata havijaguswa?.
mungu wao siku moja awalete hapa musoma wao bila kujijua wakidhani wako huko walikozoea.
Mbona nyinyi makaburu wachache wanawasumbua kwa kuchukua madini yetu na mpo kimya.hao jamaa kwa jinsi wanavyosumbua siku wakipata silaha za moto kuwamaliza itachukuwa mda,ila lawama naipeleka kwa wakaaji wa dar yaani ni waoga mithili ya fisi.
Hivi kwa tukio la namna hiyo wanamme wote tuseme wa mtaa mzima wakapiga yowe na kuvizunguka hivyo vitoto,unadhani havitalia kabla hata havijaguswa?.
mungu wao siku moja awalete hapa musoma wao bila kujijua wakidhani wako huko walikozoea.
Wamewashinda hata wale jamaa wa UKUTAPoleni sana. . kwel hao jamaa vichwa ngumu kwa mazoez yale ya mamwera lakini jamaa bado wanakaza