Hofu, woga, ubabe ndio maisha ya dunia yetu ya sasa, asietakiwa kupata haki kaekewa ukuta wa kuzuia haki isimfike, na mwenye kujiona ana haki kajizingirishia ukuta ili haki isitoke, ila kiukweli kila kiumbe anahaki ya kuishi na kupata kile mwnegine anapata. Mengi yatokeayo kila pembe ya dunia tunayasikia na kuyajua.
Kwakweli kuna watu wanateseka na kuhangaika ilhali kuna wengine wanatesa na kula raha kwenye dunia hii hii.
Haya ni miongoni mwa maneno ambayo yamenigusa kutoka kwa wananchi wanyonge kutokana na unyama ulio fanyika karada, jumapili katikati ya Baghdada-Iraq.
"We are being targeted while they are sitting safe and sound in their palaces. They are the ones who are allowing ISIL to come here and murder people."
Tupeni na takwimu za madege ya marekani na washirika wake, mara ya mwisho Syria watu laki mbili na nusu hapo sijataja kuanzia Vietnam mpaka Afghanistan, iraq hadi Cambodia,