Ile blog tata ya zeutamu imerejea upya, ni vyema waungwana tukachukua tahadhari ya mienendo yetu kabla hatujajikuta tunaumbuliwa na hawa wanaojiita ni mtambo wa kurekebisha tabia.

Ila ilikuwa poa, kwanini ufane mambo ya ajabu kwa kuonekana km hutaki kuonekana??? ina maana km umepigwa picha ulihitaji kuonekana unayoyafanya, ze utamu irudi tuuu