Tahadhari za Maisha

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,065
1. Dunia Haina mfalme wa milele, Kila Kitu au jambo ni kwa muda tu.

2.Usiishi kwa mashindano ishi Maisha Yako

3. Mali au kitu unachomiliki Kuna watu walikua nacho, kabla yako.

4. Unapokua na Furaha sana/ Hasira sana unatakiwa kua makini maana unaweza fanya maamuzi yatakayo gharimu Maisha yako.

5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…