Tahadhari;wizi mpya wa magari

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,973
27,209
Kumekuwa na style mpya ya wizi wa magari yaani wezi wanakuja sehemu yenye ukumbi kama kuna gari nje ya ukumbi wanalitaka anajitokeza mmoja hadi ndani moja kwa moja hadi kwa m.c hapo m.c. anatangaza gari namba fulani fulani naomba mwenye nalo atoke akapishe mwenzake anataka kutoka amemzuia hapo moja kwa moja mwenye gari atatoka haraka haraka kwendakwenye gari lake na hapo wezi hutumia fursa hiyo hiyo kukuteka na kwenda na wewe hadi wanapotaka wao,,
Onyo:
1:Kama ukisikia tangazo kama hilo usitoke muda huohuo subiri dakika chache mdo uende,
2:hakikisha kama unaenda toka nje ya ukumbi na wenzako zaidi ya wawili au watatu na kuendelea
3:hakikisha kabla ya kufikia gari lako chunguza kwanza je?ni kweli umezuia lingine pale ulipolipaki??
4:chukuza wale watu utakao waona pale nje je!!ni watu salama kimuonekano?baada ya hapo ndio ufanye maamuzi sahihi..
Nimewasilisha maana nimeshughudia sana kesi kama hizi,
 
muwe mmnatoa na mifano tukio kama hilo limetokea wapi kwasababu inaweza kuwa ni hadithi za kusadikika
 
Back
Top Bottom