Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,049
- 773
Mimi niliwahi kuona namba zao kupitia haohao startimes na azam. Hua siamini katika miamala ya fedha kwa kampuni ambayo haijulikani imeanzaje. Hivyo miamala mikubwa nilikua nikifanya kupitia mpesa direct. Kilichonipa mashaka mapema ni kwamba ukishapiga menu yao tu halafu usikamilishe muamala, wanakupigia simu kukuuliza kwann. Siku moja mpesa kulikua na shida na umeme umeisha, nikaona ndio muda wa kuwajaribu. Nilitaka kununua umeme wa 5000 ila nikasita, hivyo nililipia 1000 kupitia mula (1000=units 8.2). Muamala ukafanikiwa na mpesa wakaruhusu pesa itoke, (shida ilikua ni upande wa luku tu kwa mpesa ila miamala mingine unafanya kama kawaida) siwafichi, nilipiga simu nikachoka, umeme ukakata kabisa. Ilibidi niendelee kujaribu mpesa hadi muamala ulipokubali, chenga za mula ilikua ukikata simu utaona meseji , wapi. Hadi leo hii naandika hivi sijawahi ona tokeb wala nn. Wakajisahau wakaanza kunikumbusha kua kwa huduma za uhakika nitumie mula. Matusi ya mama zao waliyaoga kama mvua hawajawahi kunipigia tena, walitokomea.
Nb: Mula ni wezi tena mchana kweupe, nilitoa taarifa vodacom. Walinishauri kutokubali kufanya muamala ambao hata kwa mpesa unawezekana kufanywa, indirect. Tuwe makini kwasasa kubet kupo kwa aina nyingi
Kumchangia mwenzio 9150 povu linakutoka. Mbona kwenye harusi unachanga lakhi ?Napenda kutoa taadhari wana JF na kuwaomba TCRA kuwa makini pindi wanapotoa leseni kwa makampuni ya kutoa huduma za malipo kupitia njia ya simu za mkononi.
Awali nilijulishwa huduma hii na watu wa star times niliposhindwa kulipia king'amuzi kwa njia MPESA wao wakanitajia njia nyingine ya Mula(150*78#).
Lakini sasa nimekuja kubaini ni wajanja fulani ambao pindi unapotumia njia hiyo lolote linaweza kukutokea,
1:Hawa jamaa katika MENU yao wameweka mawasiliano yao ya simu kwamba ukikwama au kukosea huweze kuwapigia lakini hiyo namba HAIPOKELEWI kamwe. namba ni 0755400006
2:Hawa jamaa hawana website bali ukurasa wa FB na katika ukurasa wao hawajaweka namna ya kuwapata bali wanakuelekeza tu,kutumia huduma zao,tazama .Mula Tanzania
3:Ukinunua huduma mhamala unaonesha walishachukua fedha lakini huduma hupati na hakuna namna ya kuwapata.
Nilichopata leo.
Asubuhi nilinunua umeme LUKU wa tsh 9150 na mhamala ukasoma kupitia MPESA,sikupata umeme,kwa kuwa namba yao huwa haipokelewi nimejaribu kuwapigia vodacom wanasema fedha walishachukua na mhamala umekamilika hivyo HAWATARUDISHA FEDHA labda niendelee kuwatafuta..
Kwa kuwa hakuna namna ya kuwapata nimeamua kununua umeme kwa njia nyingine lakini nikaona kutoa taadhari humu,ili husije ukapata hasara kama niliyopata.
Mhamala:
4JU7XW77B7 Imethibitishwa. Tsh9,150 imetumwa kwa CELLULANT MULA kwenye accounti namba 1109929 tarehe 30/10/17 saa 7:33 AM. Salio.......
Byabato
0754527358View attachment 620570
we siyo mzima? kwani waliomba mchango?Kumchangia mwenzio 9150 povu linakutoka. Mbona kwenye harusi unachanga lakhi ?
Kwañn usinunue kwà m pesa tu,Nimekuwa nikiwatumia Mula mara kwa mara katika malipo lakini jana wameninyoosha maana naona wamenipiga hela yangu,nimenunua umeme kwa njia ya mpesa na pesa imekatwa lakini hadi muda huu sijapata umeme. Simu yao ukipiga kuwaulizia tatizo nini,inaita tu hakuna majibu
Sio mhamala kaka ni muamalaNapenda kutoa taadhari wana JF na kuwaomba TCRA kuwa makini pindi wanapotoa leseni kwa makampuni ya kutoa huduma za malipo kupitia njia ya simu za mkononi.
Awali nilijulishwa huduma hii na watu wa star times niliposhindwa kulipia king'amuzi kwa njia MPESA wao wakanitajia njia nyingine ya Mula(150*78#).
Lakini sasa nimekuja kubaini ni wajanja fulani ambao pindi unapotumia njia hiyo lolote linaweza kukutokea,
1:Hawa jamaa katika MENU yao wameweka mawasiliano yao ya simu kwamba ukikwama au kukosea huweze kuwapigia lakini hiyo namba HAIPOKELEWI kamwe. namba ni 0755400006
2:Hawa jamaa hawana website bali ukurasa wa FB na katika ukurasa wao hawajaweka namna ya kuwapata bali wanakuelekeza tu,kutumia huduma zao,tazama .Mula Tanzania
3:Ukinunua huduma mhamala unaonesha walishachukua fedha lakini huduma hupati na hakuna namna ya kuwapata.
Nilichopata leo.
Asubuhi nilinunua umeme LUKU wa tsh 9150 na mhamala ukasoma kupitia MPESA,sikupata umeme,kwa kuwa namba yao huwa haipokelewi nimejaribu kuwapigia vodacom wanasema fedha walishachukua na mhamala umekamilika hivyo HAWATARUDISHA FEDHA labda niendelee kuwatafuta..
Kwa kuwa hakuna namna ya kuwapata nimeamua kununua umeme kwa njia nyingine lakini nikaona kutoa taadhari humu,ili husije ukapata hasara kama niliyopata.
Mhamala:
4JU7XW77B7 Imethibitishwa. Tsh9,150 imetumwa kwa CELLULANT MULA kwenye accounti namba 1109929 tarehe 30/10/17 saa 7:33 AM. Salio.......
Byabato
0754527358View attachment 620570
Sio taadhari ni tahadhariUpdates.
Leo vodacom kupitia MPESA wamefuta ule mhamala na kunirudishia fedha zangu..
Hivyo taadhari bado inaendelea
asante.
Pole sana jao mula hata siwajui na sitaki niwajueSio taadhari ni tahadhari
Mkuu wangu ushirombo tafadhali pokea salami zanguPole sana jao mula hata siwajui na sitaki niwajue