Tahadhari : Ukiona 'links' inbox /Pm usivyovielewa, unawindwa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,561
Wataalamu wa IT wana kamtindo fulani ka kunyaka watu wanaowatafuta kwa kutumia 'links' ili ujinge halafu wakudukue vizuri ukamatike kama samaki...

Hasa hizi tofauti za kisiasa na kimtazamo zimekuwa zikitafusiliwa kama sumu kwa taifa ama kikundi fulani cha watu wenye interests zao.

Kwahiyo ndugu, epuka sana kujoin kwenye links unazotumiwa privately, hizo ni mtego , kuna watu wanakuwinda wakudake vizuri kupitia taarifa zako utakazoziingiza humo ikiwa ni pamoja na majina yako halisi na mawasiliano yako.

Wengi saba washadakwa.

Stay tuned guys...
 
Acha kutisha watu Jamii forum ni sehemu salama kabisa labda utake kukamatwa mwenyewe.

Nyie ndio mnatumwa kutisha watu ili wasitoe mawazo huru mimi nakwambia ivyo kwa sababu ninauhakika Jf haiwezi kuingiliwa kwa vyovyote mashambulizi ambayo imeshapitia ingekuwa ishavujisha siri lakini hakuna mwenye ubavu wa kufanya chochote.

labda uko kwenye facebook zenu ila sio umu.
 
Hili zali naomba linitokee mbona hawa watu ni selective mbona yanawakumba wengine? Niko chini ya miguu yao please ingieni anga zangu. Pleaseaaaaa
 
Mtoa mada ahsante sana.Hackers acheni ubaguzi nitumieni na mimi link kwenye inbox yangu
Nalog off
 
Hivi unawindwa ili ufanywajwe? Mtu huna hata P.O.BOX mjini uwindwe ili iweje?

Mfano mimi mwananchi wa kawaida Mtu aniwinde ili apate nini, zaidi zaidi atakutana na mabox ya sigara tu
Akuwinde nani wewe mvuta sigara
 
Wataalamu wa IT wana kamtindo fulani ka kunyaka watu wanaowatafuta kwa kutumia 'links' ili ujinge halafu wakudukue vizuri ukamatike kama samaki...

Hasa hizi tofauti za kisiasa na kimtazamo zimekuwa zikitafusiliwa kama sumu kwa taifa ama kikundi fulani cha watu wenye interests zao.

Kwahiyo ndugu, epuka sana kujoin kwenye links unazotumiwa privately, hizo ni mtego , kuna watu wanakuwinda wakudake vizuri kupitia taarifa zako utakazoziingiza humo ikiwa ni pamoja na majina yako halisi na mawasiliano yako.

Wengi saba washadakwa.

Stay tuned guys...
Wengine tumefunga pm zetu lakini la kushangaza msg zikituma zinakuja sijui shida iko wapi kwenye huu mtandao
 
Asante sana, kunammoja mwaka jana alinijia PM aeti anaomba namba yangu ya simu tuwe tunawasiliana whatsapp eti *anapendezwa na maoni yangu tuwe tunachat", kalagabaho nikamwambia ili uniteke sio?! mimi sihitaji marafiki wasio julikana..akajitetea we, nikampuuza. Wamekuja na mbinu mpya?! Asante kwa taarifa.
 
Hivi unawindwa ili ufanywajwe? Mtu huna hata P.O.BOX mjini uwindwe ili iweje?

Mfano mimi mwananchi wa kawaida Mtu aniwinde ili apate nini, zaidi zaidi atakutana na mabox ya sigara tu
Hata kukunyonya damu mkuu.

Hawa ndio wale wa ulinzi kwenye simu,ukijiuliza kanaficha nini huko,jibu huna.
 
Mpuuzi wewe acha kutisha watu,una hoja gani ya maana uliyowahi toa hapa jukwaani mpaka utafutwe zaidi ya kuandika upuuzi kama huu?
Jiwe mwoga sana. Na hao ma hackers hawana akili. Unatumikishwa na mwanaume mwenzako kisa kapesa kidogo. Mwisho watapakuliwa.
 
Hivi unawindwa ili ufanywajwe? Mtu huna hata P.O.BOX mjini uwindwe ili iweje?

Mfano mimi mwananchi wa kawaida Mtu aniwinde ili apate nini, zaidi zaidi atakutana na mabox ya sigara tu

Sio kukufanya kitu,wanafanya control

Shida hapa totalitarian regimes zinapenda control,na once uki-slip out wanakushika kirahisi!

Shida yao ni control maana ni waoga kupita maelezo!
 
Tanzania kuna totalitarian regime Au unabweka tu kufurahisha Mabeberu!

Mwehu wewe!

Kuna totalitarian regime!

Kukataa ni haki yako!

Which makes us free kusema chochote!

Mabeberu?Ndio akina nani hao?

Na juzi mlikua Urusi mnafanya nini na hao wazungu?

Mlikua mnawapa matako yenu?

A-holes nyie!
 
Back
Top Bottom