Tahadhari Na Matapeli

WA KISHUA

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
365
Reaction score
130
Kwa Takwimu Kutoka katika Wizara Ya Ardhi , Nyumba Na Makazi zinasema Kwamba Kuanzia Eneo La Tegeta Mpaka Bunju Viwanja Vyote tayari vinawamiliki hivyo ukiona mtu anataka kukuuzia eneo katika maeneo hayo niliyotaja kuwa makini na ikiwezekana washirikishe watu wa ardhi kwa usalama wako kwani siku hizi limetokea lindi la watu ambao ni matapeli kwa kujifanya kuhodhi maeneo hayo kinyume na sheria na kujipatia hela kwa njia raisi...Nawapenda Sana Wanajumuiya Wenzangu...
:israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…