Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 14
Jamani!. Ni leo tuu asubuhi jamaa yangu kaniambia jana wamelizwa lexus yao mpya hapo Mlimani City, wameingia tuu ndani, within no time, wametoka, gari halipo!.Kwenye huu wizi wa hili gari jana, kuna ama good news inakuja, ama bad news inakuja, nitawaupdate ikifika.Sasa wanapaharibu, mimi niliumizwa na kitu kidogo sana, fake na conterfeit perfums kwenye maduka ya hapo!. Nilichoka kabisa, tena duka lenyewe mpaka wana testers kuthibitisha genuinity, kumbe...
tehe tehe pole sana...siku zoote nasemaga vitu vya malls ni fake...sema wabongo wanaona prestige fulani kwenda malls hasa mlimani city kufanya shopping.....nilinunua perfume ya 212 men na ilikuwa feki bora za mtaani na cha kuumiza zaidi nilitoa laki na buku tano...
Hii kazi pale ndo mahala pake haswaa.Lakini hapo si kuna ulinzi imara? Hao askari kazi yao nn? Wanauza sura tu?
Kuna kijamaa kama kipemba hivi white hicho balaa kitaalamu cha kupiga vitu vya escudo hapo hapo.
tehe tehe pole sana...siku zoote nasemaga vitu vya malls ni fake...sema wabongo wanaona prestige fulani kwenda malls hasa mlimani city kufanya shopping.....
anyways majuzi waliniliza side mirrors mbaya zaidi gari niliazima.....
anyways majuzi waliniliza side mirrors mbaya zaidi gari niliazima.....
yah man pale ndio meeting point ya vitoto visivyojua starehe.....mie pale sio kiwanja changu man.....siwezi nunua kitu buku 2500 wakati kitaa shing 1500...na huduma nyingine bureeeePole sana kamanda!!!!!..Ulikuwa na miadi na shori nini,maana nasikia siku hizi vijana Dar meeting point ni Mlimani City,Samaki Samaki sijui
yah man pale ndio meeting point ya vitoto visivyojua starehe.....mie pale sio kiwanja changu man.....siwezi nunua kitu buku 2500 wakati kitaa shing 1500...na huduma nyingine bureeee
word up manizzle.......upo ban nini?
Ndugu watanzania leo nawaambia hii kitu inatokea lakini sasa hivi is too much,eneo la kibiashara la mlimani city ni hatari sana kwa wizi wa magari,side mirrors na vifaa vingine vya magari ..watu kibao wamelizwa hata sasa hivi ninavyopost kuna mtu analizwa
Ukiacha mkoba,laptop au kitu kingine ndani umeliwa!!! Wale jamaa ni soo ukifika pale kuna watu wana ku monitor mmoja anakufuatilia kila hatua unapokuwa ndani ya malls akiwasiliana na wengine kwenye parking ambao kazi yao ni kuchukua wanachokitaka watu wamelizwa mpaka magari . Afu kuna vijamaa vinasimama jukwaani vinasema Tanzania amani tele ..kudadadeki amani gani watu sasa wakija na magari yao wanangoa side mirrors na kuingia nazo ndani wakiogopa kulizwa?
Anyway ninachowaambia mkienda Mlimani city na motokaa zenu muwe makini Hivi nani anahusika na ulinzi Mlimani city?
bongo kuna vituko!mwanzo walikuwa wanavunja nyumba kuiba music systems,then wakaanza kuiba TV sets,baada ya hapo wakaanza kukwapua simu,wakahamia laptop,sasa hadi side mirrors na locks!duh