Tahadhari:Mbinu mpya ya wizi mtandaoni.

Niliisikia humu humu kuna mtu aliibiwa km si mwaka jana basi mwaka juz mwishoni kwa style hii hii
 
Sema unapromote Elnet.

Huo ujumbe mbona wa long time sana
Ni long time kwako ila kwa wengine ni habari mpya. Siyo kila unachokifahamu wewe na wengine wanakifahamu kwa wakati mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…