Sina uhakika, ila nahisi jamaa kalizwa zile za Job seekers unatuma application sehemu hafu unaletewa msg eti "tunaenda kupitia majina ya application kwa nafasi xxxx kampuni xxxz ulioomba. Kama.vipi tuma mpesa kwenye namba ***** tsh **** hafu ukipata kazi utamalizia tsh *****."
au sio mkuu?