mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 897
- 714
Kwani we ukitajiwa hzo pesa wanazochukua itakusaidia nn,au ndo umeamua tu kutaka marumbano ya hoja na uwezo wako kufikiri,hivyo vitu vipo na nayo mashirika yapo..Muhimbili ni sehemu moja wapo ya watoaji wa hzo semina mashoga wanamwagana hapo km watu wanaokwenda kunywa methadoneYataje hayo mashirika, bandiko refu kama hili siku nyingine hakikisha unataja hizo NGO na kiasi cha pesa wanachopewa
Kwani we ukitajiwa hzo pesa wanazochukua itakusaidia nn,au ndo umeamua tu kutaka marumbano ya hoja na uwezo wako kufikiri,hivyo vitu vipo na nayo mashirika yapo..Muhimbili ni sehemu moja wapo ya watoaji wa hzo semina mashoga wanamwagana hapo km watu wanaokwenda kunywa methadone
Nadhani mtoa thread kaamua tu kukupa taarifa ili ujue hv vitu vipo nchini kwetu hata km tunapinga ushoga wapo wajalaana wanaokubaliana na hyo kitu
Mkuu everhut,mashoga inajumlisha na wanawake wanaofanya mapenzi wao kwa wao/jinsi moja.Nauliza waungwana, wakisema MASHOGA, wanamaanisha mpk wanawake wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja? Au Mashoga inabaki kwa wanaume tu?
Ufafanuzi plz.
Shukran sana ndugu Joel.Mkuu everhut,mashoga inajumlisha na wanawake wanaofanya mapenzi wao kwa wao/jinsi moja.
Open Society, Ivos nikupe nyingine?Yataje hayo mashirika, bandiko refu kama hili siku nyingine hakikisha unataja hizo NGO na kiasi cha pesa wanachopewa
Mkuu,kuna kitu wanaita LGBT au GLBT,ambayo ni Lesbians,Gays,Bisexual, and Transgender.Nauliza waungwana, wakisema MASHOGA, wanamaanisha mpk wanawake wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja? Au Mashoga inabaki kwa wanaume tu?
Ufafanuzi plz.
Mkuu,kuna kitu wanaita LGBT au GLBT,ambayo ni Lesbians,Gays,Bisexual,TransengNauliza waungwana, wakisema MASHOGA, wanamaanisha mpk wanawake wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja? Au Mashoga inabaki kwa wanaume tu?
Ufafanuzi plz.
Nahc,maana nlikuwa nafua so nahc povu bdo limegandia kwnye mikono...Mbona umetokwa na povu?hutaki tuyajue hayo mashirika una interest na mashirika au na hao mashoga?
Duuuh! Kumbe wamepanuka namna hii! Mpk Transgender!Mkuu,kuna kitu wanaita LGBT au GLBT,ambayo ni Lesbians,Gays,Bisexual, and Transgender.
Hii maana yake ni Wasa..ji(Lessie),Waf..jwi na Wafi..ji(Gays),Wale wanaofanya na kufany..wa(Bisexual) na Waliobadili jinsi(Transgender).
Zote ni dhambi kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu no matter what.
Mkuu,kuna kitu wanaita LGBT au GLBT,ambayo ni Lesbians,Gays,Bisexual,Transeng
Bisexual ni yule anaetaman watu wa jinsia yake na jinsia tofaut na yeye, iwe mwanaume au mwanamke. Nmerekebisha kdgMkuu,kuna kitu wanaita LGBT au GLBT,ambayo ni Lesbians,Gays,Bisexual, and Transgender.
Hii maana yake ni Wasa..ji(Lessie),Waf..jwi na Wafi..ji(Gays),Wale wanaofanya na kufany..wa(Bisexual) na Waliobadili jinsi(Transgender).
Zote ni dhambi kubwa sana kwa Mwenyezi Mungu no matter w
hat.
sio siku nyingine kwa kuwa uzi bado upo aje hapa ayataje au moods ondoa hiii kitu haraka jf ni jukwaa linaloenda na dataYataje hayo mashirika, bandiko refu kama hili siku nyingine hakikisha unataja hizo NGO na kiasi cha pesa wanachopewa