mnashangaza sana nyie mijusi. zitto siameshaondoka chadema? hizi porojo zote zanini tena? fanyeni yenu muacheni na zitto afanye yake.
CCJ wamepotelea wapi mbona siwasikii tena walianza kwa mbwembwe kama hizi

Naam, Bwana Zitto Sikia haya ninayoenda kuandika hapa. Siasa zetu katika nchi za kiafrika ni zaidi ya Siasa.Ujenzi wa chama si kazi ya lelemama kwanza inahitaji watu makini,pesa,mipango mkakati iliyo madhubuti na uwanja sahihi wa kufanyia siasa zenyewe.
Siasa zetu za kiafrika sio sawa na zile za nchi zilizoendelea, kwamba sera pekee zinaweza kumshawishi mtu akuunge mkono katika chama chako, hapa kwetu unajua vyama vyetu wafuasi wengi wana matarajio ya muda mfupi na wanalenga kupata jambo fulani kipindi fulanI, katika muktadha huu utakuta Migogoro mingi inaibuka kwenye vyama hivi ambavyo havina rasilimali za kutosha mwisho mgogoro ukikomaa utakuta chama kinakufa kifo cha kawaida, na hapa sina maana chama kifutwe kwa msajiri.
Hakika kuna matarajio uliyonayo moyoni mwako lakini hayataweza kutokea katika siasa za ACT maana sasa wale waliokupokea wanahitaji muda ili waanze kupishana na wewe na hapo ndio utajikuta unakuwa Easy target.Chama kikiyumba utakuwa unajiona unalo jukumu la kurekebisha mambo na hapo Zitto utakuwa hauna amani tena moyoni utakuwa unajutia yale yaliyotokea na yanayobeba historia ya maisha yako kisiasa.
Sasa jukumu unalo tena zito,kipindi hiki unapoangalia mbele kwenye uchaguzi mkuu ujao,hakika itakuwa ni kazi ngumu mno wewe kurudi bungeni katika kipindi hicho ijapokuwa unaweza ukadhani ni rahisi lakini nataka nikwambie kwamba si rahisi maana kazi uliyonayo itakuwa kukijenga chama na si kujenga himaya yako ndani ya ACT,Akina Mwigamba naweza kusema hakuna chemistry kati yako na Mwigamba na hilo litakuwa tatizo la msingi.
Mwigamba anaamini katika mawazo yake na wewe pia, kamwe hamtaweza ku compromise pindi mkitofautiana katika harakati zenu mlizo anza.
Safari hii uliyoianza ni tofauti kabisa na ile uliyoianza pale ulipokua na umri wa miaka 16. kipindi hicho ulipata mafanikio mengi ndani ya siasa na nje ya siasa, ulipewa nafasi na chama chako kutenda majukumu makubwa,lkn safari hii ukiwa na umri wa 39 umeanza safari mpya yenye mashaka mengi.

Kama wewe si muoga kwa nini usihamie ACT?Acheni uoga hamna safari isiyokua na changamoto
Kwani cdm ndio chama tawala?mbona unaongea kama unachuki binafsi na cdm?kumbuka kuwa cdm ni chama cha upinzani tu kama hiyo act,
kumbe ACT waobwanapambana na chadema sio Ccm chama tawala.Hata mbuyu ulianza kama mchicha, hiki chama kitakuja kuwa tishio kwa Chadema, wait and see...ZZK ana wafadhili wengi ndani na nje ya nchi...wewe waache tu hawa kina Mtei na Mbowe waendeleze ukabila, udini na ukanda ktk hiyo NGO yao!...
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, hiki chama kitakuja kuwa tishio kwa Chadema, wait and see...ZZK ana wafadhili wengi ndani na nje ya nchi...wewe waache tu hawa kina Mtei na Mbowe waendeleze ukabila, udini na ukanda ktk hiyo NGO yao!...

kujenga chama cha siasa ni kazi kubwa sana hasa kama waanzilishi wake wataweka masilahi yao mbele na kujenga himaya zao ndani ya chama hivyo kuzorotesha ukuaji wa taasisi inayoweza kudumu na kupambana katika mikikimikiki ya kisiasa bila kulegalega au hata kufa.Kaka Zitto alishinda kata 9 kati ya 11 Kigoma Kaskazini jee kuna ushindi landslide zaidi ya huo? Kusema kwamba Kigoma Kaskazini inaweza kwenda CCM hilo kaka nadhani utakuwa umekosea, UKAWA hawezi kusimamisha mgombea Kigoma Kaskazini sababu hiyo ni wastage ya resources.
Kigoma yoyote Zito akigombea anashinda, sababu that is facts huko kwao yeye ni shujaa wao. Pili, katika majimbo ambayo ama CUF au CDM walikuwa na wagomebea wenye nguvu sawa na UKAWA wakigawa jimbo kwenda kwa moja ama CUF au CDM basi jua mwingine atajiunga ACT. Zitto is not stupid, yeye sherehe yake ni UKAWA kwani anakuja na mbadala au alternative.
Anachotakiwa ni kushinda wabunge 5-10 ili apate pesa ya Ruzuku, baada ya hapo miaka 5 ijayo akafanya national politics. Kitila anajua fika kabisa kwamba wao kushinda national politics ni ndoto za mfalme njozi, lakini wanaweza kushinda Kigoma, Tabora na wakatoa upinzani mkali sana baadhi ya sehemu kama Arusha. Ninavyoona Msando atagombea Arusha, he have money and mvuto maana yake atagawana Kura na Lema, means CCM will win.
Kwa mara ya kwanza tunaweza kuona analytical and calculated political campaign, sababu ya scarcity of resources nadhani ACT watajikita sehemu ambazo wana chance.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha, hiki chama kitakuja kuwa tishio kwa Chadema, wait and see...ZZK ana wafadhili wengi ndani na nje ya nchi...wewe waache tu hawa kina Mtei na Mbowe waendeleze ukabila, udini na ukanda ktk hiyo NGO yao!...
mtajifanya wenyewe kuwa washauri wa zitto. lakini tunajua inawauma sana ndo maana zitto hawaishi kwenye hizo nazi zenu juu ya shingo. mnaonaje sasa mkaendelea kumsifia godless lema-mbowe-slaa-tobo-mbuga? maana zitto sio saizi yenu. au mnafikiri zitto ni lema au sugu?Tuli dawa ikuingie, kumbe ukweli unauma siyo !!? na bado dose inaendelea.