Nadhani hii issue inahitaji kufuatiliwa ili isilete hofu. Lakini siamini kwamba kama kuna pen maalum, utaruhusiwa kutumia yako.Kuna habari kuwa kuna peni maalum zimeingizwa kwa ajili ya kufunga goli la mkono,tukienda kupiga kura twende na peni zetu kwani kuna hatari vituoni kukawa na peni za goli la mkono,ukiandikia na baada ya dakika tano maneno yanafutika na kura kuharibika.hasa kwenye sehemu zenye ushawishi mkubwa wa upinzani.angalia picha hii chini
Kuna habari kuwa kuna peni maalum zimeingizwa kwa ajili ya kufunga goli la mkono,tukienda kupiga kura twende na peni zetu kwani kuna hatari vituoni kukawa na peni za goli la mkono,ukiandikia na baada ya dakika tano maneno yanafutika na kura kuharibika.hasa kwenye sehemu zenye ushawishi mkubwa wa upinzani.angalia picha hii chini
we kiazi kweli unadhani ujinga kama huu ni rahisi kama unavyodhani.
Tupe sababu ya kutotumika mkuu wacha panic
We Mmawia Nilikwambia Uwe Unasumbua Ubongo Wako Huo,acha Kua Bogus Wa Kuchukua Kila Unachoambiwa..Sasa Kama Maandishi Yanafutika Inamaana Kura Zote Zitakuwa Hazina Alama Kwahyo Matokeo Yatakua Nill Hakutakua Na Mshindi...?Nawewe Kabisa Unaona Hilo Linawezekana,we Jamaa Ni Mpumbavu
Dakika Tano nyingi sana mkuuKuna habari kuwa kuna peni maalum zimeingizwa kwa ajili ya kufunga goli la mkono,tukienda kupiga kura twende na peni zetu kwani kuna hatari vituoni kukawa na peni za goli la mkono,ukiandikia na baada ya dakika tano maneno yanafutika na kura kuharibika.hasa kwenye sehemu zenye ushawishi mkubwa wa upinzani.angalia picha hii chini
Yaani nyie wasanii mna shida sana ..bado mna ---- za kuibiwa wakati kila dariri inaonesha Magufuri ana traits kibao za kuscore 90% ..acheni wendawazimu na urofa wenu wa maigizo, Ikulu hayaendi makapi ever