SHY, ahsante kwa taarifa yako.... nilikumbana na huu mkasa jana, bahata nzuri ni kuwa nilikuwa nimeweka namba yangu ya simu kwenye A/C yangu ya gmail, walivyo jaribu kubadilisha password nikapata msg kwenye simu na hapo nikafanya mpago waharaka kubadilisha pswd yangu,na gmail walinipigia simu kunipa code ya ku-reset password....Gmail wanautaratibu mzuri sana kuliko mitandao mingine ya huduma hii.
l