SODOKA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 1,656
- 724
ndugu zangu najua kuna mliokosa first round ya TCU ,,wengi wenu kwa sasa mnajaza course yoyote ili mradi upate chuo eti ukifika utabadili course....
natoa angalizo hii iliwahi kunikuta na mimi ni mmoja kati ya wahanga niliochaguliwa first round mwaka 2011 nilipofika chuoni nilitaka kubadili lakini uongozi wa chuo uligoma....kuna vyuo kama Mhimbili,,UDSM,,SUA ,,udom ubadilishaji wa course ni mgumu sana maranyingi unategemea mtu ahame course moja kwenda nyingine yaani EXCHANGE...(double coincidence ) kama barter trade ..wewe unataka mihogo una karanga...kwaio tafuta mwenye mihogo ili umpe karanga...ila sijajua kwa vyuo vingine lakin kwa tahadhari hakikisha unajaza course unayoipenda hata kama huipendi jiandae kisaikolojia kuipenda vinginevyo nakushauri usubiri utajaza mwakani,,elimu haina mwisho