Tahadhari kipindi cha mvua

mnakata sana umeme huku mbagala na kijichi kuna mini au mitambo imechoka
 
Rais wenu yupi? Kwa lipi alilolifanya mpaka astahili pongezi? Mbona wote wamechangia/wanachangia katika kuiangamiza TANESCO!?
Utendaji wa kazi umeongezeka ktk mashirika ya Umma tofauti na kipindi cha nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…