Hawa TALA bado wanaendelea kuwaibia watu tena kwakutumia clip za wasanii maarufu ...baya zaidi wana dai pesa utatumiwa online ... mamlaka husika haiwezi kamata hawa watu?? ...mbona vitu vingine ni rahisi kuvifuatilia mfano mikutano ya ndani ya vyama pinzani kwanini jambo ovu kama hili wasilifuatilie ...inasikitisha sana
We jamaa tala gani wanatumia hzo clip, tala Wana uwezo wa kukupa pesa zote hzo , alaf wanakwambia watakutumia online baada ya wewe kuwapa nini , mpak unahs unaibiwa , tala washafunga ofsi zao bongo na tangazo walitoa public
We jamaa tala gani wanatumia hzo clip , tala Wana uwezo wa kukupa pesa zote hzo , alaf wanakwambia watakutumia online baada ya wewe kuwapa nini , mpak unahs unaibiwa , tala washafunga ofsi zao bongo na tangazo walitoa public