kailakarama
Member
- Aug 30, 2014
- 73
- 30
Vijana ndiyo moyo wa chama ila moyo huu ufa pale chama kinapopata Mwenyekiti wa vijana aliyepwaya.
Kitengo cha vijana wa NCCR chini ya Mwenyekiti Deo Meck kimekufa kabisa ni ukweli usiopingika hakuna mtu anahamu ya kujiunga nao na Kama siyo kina Kafulila chama hiki tungekuwa tumekisahau kabisa.
Jumuiya ya vijana ya CUF chini ya Mwenyekiti Katani A Katani nayo iko taabani imepoteza dira na haina muelekeo ni Kama vile Lipumba ndiyo Mwenyekiti wa kila kitu CUF maana hao vijana hawapo kabisa.
Umoja wa vijana wa CCM chini ya Mwenyekiti Sadifa Hamisi Juma nayo imepwaya mno na pia imepoteza mpaka mvuto unaweza sema bora rizwan ndiye angekuwa Mwenyekiti wao
Nawapa tahadhari CHADEMA mnaenda kuchagua Mwenyekiti wa Bavicha makosa mliyofanya 2009 msiyarudie tena:-
1. mkachague Kijana siyo mnachagua Mzee halafu mnalazimisha kuwa ni kijana
2.kiukweli Daniel Naftal na Philipo Mwakibinga ni wepesi sana kiuwezo ila kazi Kwenu
3.kachagueni Mwenyekiti wa vijana na siyo kipenzi cha viongozi wa makao makuu kufanya hivyo mtarudia yaleye ya 2009.
Ngome ya vijana wa ACT chini ya Mwenyekiti Grayson Manyori Nyakarungu (Brigedia) ni moto wa kuotea mbali bado sijaona Mwenyekiti anayemfikia japo kwa 50%.