ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Mkuu usiongee hivyo, weka 1200mb za 1500 ndani ya masaa 2 hazipo hata kama hufanyi chochote kile kitendo tu cha data kuwa on ni balaa, mbona wanzo tulikuwa hatulalamiki? watu siyo wajinga.Hjvi hayo matatizo ya huu mtandao mnayaona nyie tu mbona sisi hatuyaoni?
Na imawezekana ikawa kweliHawa jamaa walianza vizuri sana,speed kali na bei nafuu mpaka nikawa addicted nao
Majuzi wamepandisha bei ya vifurushi na speed imeshuka bado nipo loyal ila this week nimegundua kitu cha ajabu sana,mb zinakatika kwa speed ya ajabu nikasema jana usiku nifanye jaribio fulani
Nimelala saa nne nikiwa na MB 1000 nikazima data na simu kabisa,naamka saa 12 nina MB 200 jesus christ nikasema ni peruse jamii forums,in 30 minutes nina MB 0,nikiwapigia wananiambia eti niende kwenye office zao
Leo naweka mb kwa mara ya mwisho nione tena wizi wao unaendaje,jamani HALOTEL VAS kuweni na huruma jamani,uchumi wenyewe wa kibashite tunaumizana hivi? mimi mwenyewe ni mteje loyal kila siku naunguza karibu 4,000 kwa mb zenu mnanifanyia hivi jamani??
Nimewakimbia nw nko ttcl....full amaniHawa jamaa walianza vizuri sana,speed kali na bei nafuu mpaka nikawa addicted nao
Majuzi wamepandisha bei ya vifurushi na speed imeshuka bado nipo loyal ila this week nimegundua kitu cha ajabu sana,mb zinakatika kwa speed ya ajabu nikasema jana usiku nifanye jaribio fulani
Nimelala saa nne nikiwa na MB 1000 nikazima data na simu kabisa,naamka saa 12 nina MB 200 jesus christ nikasema ni peruse jamii forums,in 30 minutes nina MB 0,nikiwapigia wananiambia eti niende kwenye office zao
Leo naweka mb kwa mara ya mwisho nione tena wizi wao unaendaje,jamani HALOTEL VAS kuweni na huruma jamani,uchumi wenyewe wa kibashite tunaumizana hivi? mimi mwenyewe ni mteje loyal kila siku naunguza karibu 4,000 kwa mb zenu mnanifanyia hivi jamani??
Labda cm yako nikama a/c ya bank inaingiza nakutoa bila kujua,Fanya uchunguz hakika utaliona na usipoliona sikulazimishi kuliona sababu anaeisifia mvua ujue yeye ndio muathirika,asubuhi njemaHjvi hayo matatizo ya huu mtandao mnayaona nyie tu mbona sisi hatuyaoni?
Wapo busy na msg za LemaSijui TCRA WAKO WAPI YAANI MWENYEWE SIKU WANAIBA MB VIBAYA MNO
Wewe na nani?Hjvi hayo matatizo ya huu mtandao mnayaona nyie tu mbona sisi hatuyaoni?
sijui nini kimewakumba,zamani walikuwa poa aisee hadi kama 4 weeks ago,speed kali,bei nzuri ya bando.yaani sasa hivi ni wezi kuliko hata wakongwe wale wa mitandao chakavu..Nimenyoosha mikono juu jana nimepigwa Mb za kutosha simu ikiwa imezimwa na nimelala..Too much,I cant take anymore,I have had enough of these fools#Mabashitekama ni hivyo basi nimeghair kununua laini yao...
Tusubir Ttcl wajipanue mikoa yote nasikia huduma zao ziko vizursijui nini kimewakumba,zamani walikuwa poa aisee hadi kama 4 weeks ago,speed kali,bei nzuri ya bando.yaani sasa hivi ni wezi kuliko hata wakongwe wale wa mitandao chakavu..Nimenyoosha mikono juu jana nimepigwa Mb za kutosha simu ikiwa imezimwa na nimelala..Too much,I cant take anymore,I have had enough of these fools#Mabashite
yatakuwa yaleyale,nikiangalia muhusika wa jumba jeupe anavyoichukia mitandao nahisi kinachotokea ni kujaribu kuwafanya watu wasitumie internet..Fibre cable ya nini kama speed iko low?si tumechukulia middle east pamoja na kenya?mbona wao ndo wenye internet yenye speed afrika?hhii nchi mbona ya kingesengese sana?aghhhhhhhhhhhhhhhhTusubir Ttcl wajipanue mikoa yote nasikia huduma zao ziko vizur