Sasa ukimtafta mganga unaenda kupoteza pesa nyingne... jarib kutafta solution nyngne lkn sio mgangaHabari
Habari
Haba tena na tena ndugu yangu kijana wenu nimekuja kwa inyenyekevu sana ndugu yenu
Kwa ufupi ndugu yenu ninaomba msaada na nina matumaini nitafanikiwa kwa maana hapa JF kuna maguli wa kila namna ya wamejaaa tele.
Kujana mwezenu nimezulumiwa haki yangu
HISTORIA FUPI
Mwaka 2013 nilioa mwanamke wa Ki Tanga
Nilibahatika kupata mtoto mmoja na uyo binti
Mwaka 2015 nilibahatika kujenga nyumba
Mwaka 2017 nilibahatika kununua gari lenye dhamani ya ML 9
Wakati hayo yote nikiyafanya nilikuwa na mke wangu mpendwa tena alikuwa ananipenda kupitiliza
Mwaka 2018 niligundua mke wangu ana mahusiano na kijana wangu wa DUKANI
Kiukweli iliniuma sana sana baada ya hushauri wa wa mrafiki nikaamua nimuache hapo ndipi sheria ilipo chukua nafasi
Ila sheria ilinisaliti na ndipi maisha yangu yakabadilika kabisaaa wakati nanunua kiwanja gari vyote niliandika kwa jina lake
Na sasa mwanamke amebadilika na kusema vyote ni vyake na sheria imemuamini kwa maana majina yote ya kwenye hati ni majina yake
Kiukweli inaniuma sana kwa sasa sina hata pesa ya kuendeleza kesi
SASA BASI NAOMBA MSAHADA WA NGUVU KWA MWENYE UWEZO
NATAFUTA MGANGA TENA MGANGA WA KWELI AMBAE ANAUWEZO WA HALI YA JUU NIWEZE KUTETA NAE KWA MAANA MWENZANGU YEYE ANATEMBEA KWA WAGANGA KILA SIKU
NAOMBA YOYOTE ANAE TAKA KUNISAIDIA AJE INBOX NAITAJI MGANGA NAITAJI MNGANGA
NISAIDIENI NDUNGU ZANGU.
Aseeee......Habari

π π kwamba?
Stori ina gusa moyo... Ila kichwa kimeni wowπ π kwamba?