Tafsri halisi ni ipi?

Tafsri halisi ni ipi?

KUWEDA

Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
41
Reaction score
6
Tafsri halisi ya neno MAHARI ni ipi?;
Kama ni zawadi kwa mzazi aliyekuzalia mke,mbona jamii zetu zinakupangia kiasi cha kutoa?..na 2juavyo wabongo zawadi ni zawadi hata neno AHSANTE linatosha kukupatia mke...Wengine wakikimbiwa na wake zao wanaenda kudai mahari yao ukweni.
Then,kwann wanaume hawatolewi mahari na mke ili kushukuru kupatiwa mume?..NB;Ukipangiwa mahari maybe sh 50,ukawa na sh 49 unakosa mke..MI CJUI HASWA NN HII K2 MAHARI?
 
Hii kitu inategemea na jamii husika au imani,kila jamii na imani inalitazama jambo hili tofauti
'
Kama unaamini katika dini kagua maandiko ya imani yako yanasma nini,kama huamini kagua kabila lako linalitazamaje jambo hili
'
Hakuna maana moja ya jambo hili duniani,kuna jamii mahari ni pombe,nyingine ng'mbe,nyingine anatoa mwanamke,nyingine hakuna
'
Ukitafuta maana moja utakwama!
 
Mahari hutolewa ili angalau kuwafurahisha(kuwafariji) wazazi kwa kuamini kuwa angalau watakuwa wamepunguza gharama walizopata wakati wakimkuza mtoto wao tangu utotoni na pengine gharama ya elimu yake.

Kwa huku Tanzania na nchi nyingine nyingi wanaume ndio huwatolea mwanamke mahari, ila nchini India wanawake ndio huwatolea wanaume mahari.
 
Hii kitu ni upuuzi tu kwa nini na mwanaume asitolewe mahari kwani yeye hajalelewa? unakuta unatoa mahari kubwa kwa kuoa kicheche bora hii kitu ingetolewa kwa wasichana walioolewa wakiwa bikra na pia isipangwe iwe kama shukrani tu na sio lazima maana sioni logic ya hiki kitu kabisa coz kiuhalisia huwezi kumlipia mtu gharama za matunzo hata kama mtoto wa miaka 10 kwa sababu hakuna record ya gharama pili kuna gharama ambazo none monetary costs hizo nazo sijui zinalipwaje.So swala la mahari ni moja ya kitu kinachofanya wazungu na jamii zilizoendelea kutuona tunaishi maisha ya kigorilla.
 
Mi majuzi tu nimetoka kupangiwa mahari hata sina hamu
 
Kuna mzazi mmoja alidiriki kumuoza binti yake bila ya kulipwa mahari akidai kuwa yeye hatapokea mahari ila atafurahi zaidi atakapoona binti yake anaishi vizuri na mumewe wakiwa pia wamebarikiwa maana siku zote atakuwa na thamani mbele ya mkwewe.

Msimamo huo ulitafsiriwa tofauti na watu kwani baadhi walisema huenda mzazi huyo alikuwa hakutoa ridhaa yake moyoni kuruhusu ndoa hiyo iwepo au alikuwa hampendi huyo binti na alimhesabu kama ni kero katika familia.
Lakini baada ya miaka miwili mzazi huyo aliweza kuzawadiwa zawadi kemkem, likiwemo gari kutoka kwa mkwewe pamoja na kujengewa nyumba nzuri ambayo hakuitarajia maishani mwake na wakati huo heshima yake ikisitiriwa vema.

Nadhani hivyo ndivyo tunavyotakiwa tuishi, tusiishi kwavile nanii anaishi hivyo ila tuishi kwa jinsi sisi tunavyoweza kuishi.
 
Ni kama token of appreciation kwa wazazi kumlea na kumtunza binti mpaka hapo alipofikia na wewe ukafanikiwa kumpata. Ila pia sifahamu kwa nini hakuna hiyo token of appreciation kwa wazazi wa kijana anayetaka kuoa!
 
ktk utandawazi huu hayo yataisha mahari itakuwa ni maamuzi ya wattot wenyewe nini wapeleke kwa wazazi wa pande zote.
 
Back
Top Bottom