Uko sahihi Molaro. Tuna kwa mfano rasimu ya katiba(draft constitution); yaani katiba ambayo inahitaji kujadiliwa na
kurekebishwa ili ipatikane katiba halisi.
Bila shaka mleta thread atakuwa amepata kitu hapa.

rasimu ni mapendekezo yanayotolewa na mtu, kikundi cha watu au taasisi ili kutolea ufafanuzi wa jambo au kuwa mhimili wa kuongoza taasisi hiyo au jamii husika. by Ngwegwe