Kwa wataalamu wa kutafsiri picha, wanaweza kuona vizuri ni kitu gani kinachoendelea kwenye hii picha. Je! Wewe unaitafsiri vipi?
Una akili sanaaa.............................Kwa wataalamu wa kutafsiri picha, wanaweza kuona vizuri ni kitu gani kinachoendelea kwenye hii picha. Je! Wewe unaitafsiri vipi?
HII HABARI YA MAkonda ina ukweli? najaribu kufuatilia sana lk sipati jibu
Kwa wataalamu wa kutafsiri picha, wanaweza kuona vizuri ni kitu gani kinachoendelea kwenye hii picha. Je! Wewe unaitafsiri vipi?
sure! this is terrible....! cjui chama cha mafisadi kinapeleka wapi nchii hii...???