WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 947
Wengi tunajua ni makosa yatakanayo na matumizi na internet na mitandao ya kijamii kwa ujumla ila si kweli kwa Tanzania.
Tanzania hili limekaa kisiasa sana kosa ni pale utapo jaribu kukosoa serikali na Chama Tawala, nani amefungwa kwa kukosoa chama pinzani? vyama pinzani vinatukanwa sana na hadharani lakini sijawahi kusikia mtu amekamatwa wala kufungwa au kutekwa.
BEN SAA NANE hadi leo na vyombo vya usalama hamna hata juhudi ya kumtafuta na huyu alihoji juu ya DOCTORATE ya magufuli au nae cheti feki?
Sasa Mkosoe MAGUFULI huchukuwi masaa 72 umekamatwa au kosoa serikali tu.