NKWENYE
Member
- Feb 19, 2017
- 57
- 183
Baada ya uchaguzi wa TLS leo kuna kitu kimepita kwenye ubongo wangu.
Nimejaribu kuwaangalia watu walio waliopiga kura leo na namna mambo yalivyokuwa. Kwa uhakika kabisa watu wanaoipa kura CCM kwenye chaguzi mbalimbali ni wenye sifa zifuatazo
1: Wasiojua kusoma na kuandika
2: Wenye uwezo mdogo Sana wa kuchanganua mambo mbalimbali hasa yanayoihusu nchi..
3: Wanaonunuliwa kwa muda toka vyama vingine
4: Wenye maslahi ya moja kwa moja na CCM.
Leo hii ingekuwa katiba inasema wapiga kura wote wawe na Elimu kuanzia kidato cha nne, CCM ingekuwa madarakani kijeshi..