Tafiti

Kabsaa six pack za nn
Ukipata zako mtu mwenye sura personal na kitambi chake
Burudan sio hao wapaka lipstick
 
Wanahangaika tu haziwafikishi kwenye mafanikio ya maisha, wakaze kuzisaka noti tu
Wamejijengea akili kwamba wanawake wanavutiwa na six-pack sawa sawa na upande wapili (ke) walivyo jijengea akili kwamba wanaume wanavutiwa na chura. Wanashindwa kutambua mahitaji yanatofautiana
 
Sasa hizi six packs nazipeleka wapi daah ushakuwa ulemavuu kweny kifua changu hakuna jinsi.. yaani hawaelewek nini wanataka Hawa viumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…