Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 798
- 865
Ukiacha kuemka utanielewa mkuu😂😂WACHAWI MNAANZA KUTOKA VICHAKANI.UMEELEWA MAANA NGUVU YA WA VIONGOZI WA DINI MBONA WAO WANATUMIA VIONGOZI WA DINI KUOMBA AMANI.
EMBU NENDA UKANYE PESA ZA WATU ALAFU KAJIFUNZE KULE GOMA ANACHOFANYA KJOSEPH KABILA.
Ukiacha kuemka utanielewa mkuu😂😂 toka ccm uwezi kuelewekaUkiacha kuemka utanielewa mkuu😂😂
Sasa nimekwambia niko chama gani? Why unataka kuungilia uhuru wangu 😂😂Ukiacha kuemka utanielewa mkuu😂😂 toka ccm uwezi kueleweka
Nasikitika hujaelewa andiko linamaanisha nini.Sio kila jambo linaweza kufikika kwa akili pekee; imani na maombi pia hutoa mwongozo, faraja, na hekima ambayo akili ya binadamu peke yake haiwezi kufikia.
Maombi yameanza kuwa mabaya kwa sababu tu watu wameambiwa waombe utekaji ukomeshwe? Kuomba ni njia moja ya kuamsha watu ili wawe na msimamo mmoja."Waafrika wengi tumepewa zawadi ya kufikiri, lakini tunaikabidhi kwa viongozi wa dini kama sadaka, kisha tunalalamika tunapopotezwa hata katika mambo yanayohitaji akili tu, si maombi ya kufunga." — Alloyce, P.R.
Huo ndio unafiki sasa, kujificha kwenye kivuli cha maombi, kujifanyisha mcha Mungu kumbe utapeli tu.Maombi yameanza kuwa mabaya kwa sababu tu watu wameambiwa waombe utekaji ukomeshwe? Kuomba ni njia moja ya kuamsha watu ili wawe na msimamo mmoja.
Hujaelewa bado, sijasema kuomba ni tatizo, hapo tatizo ni kuchukua akili yako na kuiweka kwa kiongozi wako wa dini alafu unakua kipofu wa akili na fikra.Maombi na akili vyote vina nguvu inategemea unataka jawabu lipi
Tanzania kutumia njia ya maombi ili kuamsha hisia za watu ni muhimu sana. Naelewa sana concern yako lakini watanzania navyowajua ni lazima utumie akili kuwavuta karibu.Huo ndio unafiki sasa, kujificha kwenye kivuli cha maombi, kujifanyisha mcha Mungu kumbe utapeli tu.
Sasa wanajua madhara ya kutumia nyumba za ibada kuchonganisha serikali na wananchi, na hiyo hujui pia itachochea uchonganishi baina ya dini na dini?Tanzania kutumia njia ya maombi ili kuamsha hisia za watu ni muhimu sana. Naelewa sana concern yako lakini watanzania navyowajua ni lazima utumie akili kuwavuta karibu.