Kwa kweli maswali yako haya Askofu hapendi kuulizwa maana yanafikirisha sana ila pia hujazungumzia ile kauli ya alichounganisha Mungu pinadamu asitenganishe hio sentensi Askofu anaitumia sana kwenye kuelezea mada ya Ndoa kwamba mfungishaji wa ndoa wa kwanza alikua ni Mungu mwenyewe
Lakini pia Askofu ataenda na kukwambia Yesu alisema Mungu ni Upendo yaan unapendana na mwenzio ndio yupo katikati yenu kuudumisha Upendo, ataenda mbali zaidi kwamba pamoja na kwamba hakuwasamehe ila hakuwaacha alichofanya aliwaondoa kule kuliko na Malaika
Askofu ataenda mbali na kukwambia kabla ya mwili kwanza iliumbwa Roho, kwa hio ujue tofauti ya Mwili na Roho, Mungu anaishi Rohoni sio Mwilini, hayo ni maelezo ya Askofu sio mimi