Agenda za Chadema ni mbili. 1. Demokrasia na 2. Maendeleo.
Kipindi cha nyuma, chama kiliwekeza kwenye agenda ya maendeleo ambazo zinagusa wananchi moja kwa moja...sasa wamebadili NIA na kuanza kuwekeza kwenye kupambania demokrasia...ukweli ni kwamba, wananchi wa chini hawako interested freedom of speech, freedom of expression etc...wanachotaka ni maendeleo- umeme, maji, elimu, afya, ajira etc...chadema ya leo imekuwa "out of touch" na mwananchi wa chini