Tafakari: Kwanini wazee wasipunguze gharama ya mahari ili kupunguza watoto wa mtaani?

Love Doctor

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
299
250
Kutoka kwa Abuu Abdillah

Tafakari
Leo sisi mabarobaro tutafakari kuhusu kuoa ni kweli mjini kuna mengi vijana wengi hulalamika ukubwa wa mahari kwa nini wazee msipunguze gharama za mahari ili watoto wa mitaani wapungue ??
Akikujieni mlie mridhia dini yake na akhalaki zake muozesheni
Ndoa iliyotolewa mahari ndogo huwa na baraka Ulimwengu umejaa fitina


Dada zangu tutafakari ukitaka magari olewa na gereji
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom