tafakari hii picha ya Shibuda

Kishalu

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,173
Reaction score
713
View attachment 71020
John Magale Shibuda akimsikiliza kwa makini Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ndani ya ukumbi wa Kizota, kwenye mkutano mkuu wa nane wa Chama Cha Mapinduzi.
 
ccm ipo kwenye damu yake anauguwa virusi vya ccm mwilini kwake
 
Anaulizwa sasa wewe maana umeshachemsha yule Mwiraqw umeshindwa kumsw@k?gw na huyo Mangi Mbowe naye unamgwaya we hufai kutumwa wewe na ungeshamaliza haya mambo by 2015 ungepeta humwoni Wasira alivoibaka Nccr na sasa anapeta?
 
View attachment 71020
John Magale Shibuda akimsikiliza kwa makini Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ndani ya ukumbi wa Kizota, kwenye mkutano mkuu wa nane wa Chama Cha Mapinduzi.

Inaonyesha WOTE wa CCM wanamfuata YEYE... Sasa NAPE katoka MWINGINE kaingia kuongea nae

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Kapteni John Chiligati akibadilishana mawazo na John Magale Shibuda kwenye ukumbi wa Kizota, ambapo mkutano mkuu wa nane wa CCM unafanyika.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Nimemsikia mh.shibuda akihutubia mkutano mkuu wa CCM DODOMA akivishambulia vyama vya upinzani kuwa ni adui wa maendeleo nchini.source DW kwani amehama chama ama!!!
 
Nyie si mlifikiri mmemvua gamba mkamvalisha gwanda! Haya sasa Gamba ndani ya gwanda hilo mpambane nalo!
 
Welcum back brother, u will run for presidential post in 2015. No one like you dingi!!! hahaaa, maneno ya Nape hayo, not me!!!
 
Shibuda ana onekana ana amani zaidi akiwa chama cha magamba!
 
Kwamacho anaonekana amevaa,kiuhalisia yuko mtupu!!Waliosomea utaalamu wakumsoma mtu mumuangalie kwamakini kila anapozungumza iwe akiwa CDM au CCM Uso wake unatoa tafsiri!!Ulishawahi kumuhisi mtu kwamba amefanya jambo baya na akanza kujibaraguza?YUKO HATUA HIYO!
 
Wakati anatumwa Aende CDM Kumbe wapanga mkakati baadhi yao walikuwa nimamruki wa CDM ndani ya CCM,Ambao naamini mpaka leo wapo bado CCM ila kiustadi mno!Hao Mamruki wakaforward taarifa anakuja mpokeeni ila kaja kikazi huko!Tehe tehe tehe!Yanayomkumta Shibuda CDM nilazima atafute pakupumulia.....Maana nikama Viongo wa CDM hawamuoni vile?Kumbe wanamkakati nae mbele yasafari!Kama kumchinja KOBE VILE TIMING MUHIMU!
 
View attachment 71020
John Magale Shibuda akimsikiliza kwa makini Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ndani ya ukumbi wa Kizota, kwenye mkutano mkuu wa nane wa Chama Cha Mapinduzi.


............Jamani jamani kila mtu anaangalia tumbo lake ...... anajiwekea mtaji wa baadaye.... jamani njaa siyo mchezo hata kama ungelikuwa wewe!!!!!!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…