Tafadhali Wadau Tumsaidie Huyu Mtoto

Tafadhali Wadau Tumsaidie Huyu Mtoto

Dah inasikitisha sana, kutoa jamani ni moyo na sio utajiri, chochote ulichonacho toa. Hongera kwa kuleta hii thread, naamini watajitokeza kumsaidia, mtoto anateseka sana jamani
 
Bro, imenisikitisha sana kwa kweli. I can also relate sababu binti yangu wa umri kama huu aliungua vibaya na maji ya moto
 
Oh pole sana, sasa kwa mzazi kama wa huyu mtoto masikini hata pesa hana, pia namhurumia huyu mtoto naona hata vidole pia hana. Mungu Atamsaidia yeye na mzazi wake, maana wapo katika wakati mgumu sana. It hurts so much
 
Asante mkuu! Bila kujali bonafides zangu (or lack thereof) and/or level of popularity humu jukwaani, ningeomba sana wanajukwaa wote wenye huruma wamsaidie huyu mtoto. Inasikitisha sana kuona jinsi alivyodhurika na ajali hadi kupoteza mikono yote miwili pamoja na uso kuungana na kifua, haswa ukichukulia kwamba huyu mtoto alizaliwa akiwa mzima kimaumbile, na bila hiyo ajali, ambayo mtoto huyu hana hatia, na angekuwa mzima na mwenye afya kama hiyo ajali isingetokea.
 
Dah inasikitisha sana, kutoa jamani ni moyo na sio utajiri, chochote ulichonacho toa. Hongera kwa kuleta hii thread, naamini watajitokeza kumsaidia, mtoto anateseka sana jamani

Aisee!
 
Back
Top Bottom