Tafadhali usiache kupitia hapa

Pekejeng

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
831
Reaction score
2,239
Habari za mchana wakuu

Wakuu huwa kuna siku nakuwa niko free sasa nimepata wazo Nilikuwa na nia ya kujitolea kufanya kazi yoyote kwenye non profit organization zinazo hudumia watu mfano wagonjwa wa kansa watoto yatima au hata wale wenye mahitaji maalum.
Nitashukuru sana nikipata location za sehemu mbalimbali kwa hapa Dar.

“Service to humanity is service to God.”
 
ongera
 
Una maono ya mbali sana wewe, wapo watu wanaweza kubeza lakini unajua unachokitafuta. Hongera sana mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…