Bila Shaka mu wazima na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku.
Mimi Ni binti mwenye taaluma ya astashahada ya uandishi wa habari na shahada ya mahusiano ya uma na masoko japo sijafanikiwa kupata cheti Cha shahada kutokana sababu mbalimbali za kifamilia zilizosababisha Kukosa Ada.
Kwa kweli nimeamua kuchukua hatua hii, ya kuomba msaada Jamii forum baada ya kuona jukumu nililonalo kuwa kubwa ,kutokana na kwamba Nina familia ya mzazi mmoja ambae Ni mgonjwa,kusomesha wadogo zangu watatu,wawili sekondari waliopo sekondari na mmoja primary.
Nimejitahidi kufanya biashara ndogondogo Kama kuuza urembo ,maandazi,nk, huku nikiomba kazi yoyote bila kuchagua bila mafanikio.kutokana na jukumu nililonalo la kutunza familia yangu na kumuuguza mzazi wangu,ikiwa Mimi Ni binti mkubwa katika familia yangu.
Kwa heshima na taadhima nachukua nafasi hii kukuomba wewe unaesoma hapa ambaye unauwezo wa kunipa nafasi yoyote katika ofisi yako, au kuniunganisha na mtu au ofisi ambayo inanafasi yoyote ,unisaidie tafadhali ili niweze kumuhudumia mzazi na familia yangu.
Mimi Ni mchapakazi ,mwaminifu na nibinti ambaye ninamcha Mungu na ninajiheshimu,hakika hautajuta kufanya kazi na Mimi.
Nipo tayari kwenda mkoa wowote na sehemu yoyote kufanya kazi, please kwa aliyetayari kunisaidia naomba Ani PM.
Kwa kusema hivo nawashukuru nyote kwa kusoma post yangu,japo Ni ndefu, ninaimani ombi Litapatiwa uvumbuzi, Asanteni.