colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,438
- 2,929
Asnte kwa ushaur ila sitak nimpeleke veta ....hivi hakuna option nyengincolin_morgan, Aende veta tu
Be Humble n wise.. life is full of surprisesMtu kafeli hivyo bado unaulizia chuo kizuri na course yenye marketi, we mzee vipi? Mwambie atafute kozi za kuzibua vyoo
ungekaa kimya ungepungukiwa niniMtu kafeli hivyo bado unaulizia chuo kizuri na course yenye marketi, we mzee vipi? Mwambie atafute kozi za kuzibua vyoo
ungekaa kimya ungepungukiwa nini
Msemakweli ni mapenzi wa Mungu, mpumbavu hupenda kuambiwa uongo wenye kufurahishaUtakuta lengo kuu ni kujaribu kuchekesha, sifa za kijinga au kupata umaarufu ni ulimbukeni tu wa utumiaji mitandao
Hapo nimesema ukweli tu, mpumbavu hupenda Maneno mazuri yenye kufurahisha lakini mwerevu hupenda ukweli hata Kama unaumaUtakuta lengo kuu ni kujaribu kuchekesha, sifa za kijinga au kupata umaarufu ni ulimbukeni tu wa utumiaji mitandao
kuna watu wanapenda kujiona wajuaji mbele za wenzao wakat mwisho wa siku wanajikuta wanadhalilikaUtakuta lengo kuu ni kujaribu kuchekesha, sifa za kijinga au kupata umaarufu ni ulimbukeni tu wa utumiaji mitandao
Ameomba ushauri, ushauri upo wa aina mbili, upo wa kuambiwa ukweli mkavu au wa Maneno mazuri lakini ya uongo, sasa achague mwenyewe, wewe acha kiherehere, toa ushauri wako Kama mtoa mada alivyoombaungekaa kimya ungepungukiwa nini
Umetoka kwenye mada ya kumpa ushauri sasa unajifanya una akili Sana kumbe huna lolotekuna watu wanapenda kujiona wajuaji mbele za wenzao wakat mwisho wa siku wanajikuta wanadhalilika
Asnte kwa ushauri mkuuMtu kafeli hivyo bado unaulizia chuo kizuri na course yenye marketi, we mzee vipi? Mwambie atafute kozi za kuzibua vyoo
Chemistry ana F mkuuSijaona Chemistry hapo. Mpeleke asome animal health kule Morogoro
Yeye anapenda afya ila nimeangalia kwa ufaulu wake hawezi kupataKaa chini uzungumze naye kwanza
Ni course gani ama nini atapendelea kufanya
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app