combra Senior Member May 28, 2012 130 31 Jul 4, 2012 #1 simu yangu ni nokia 5230 haisomi PDF life,lkn niki-download inakubali,baada ya kudownload halifunguki file. Nikitaka kufungua inaniandikia "unable to open,File type not supported" waungwana je tatizo nini na nifanye je.thanks in advance
simu yangu ni nokia 5230 haisomi PDF life,lkn niki-download inakubali,baada ya kudownload halifunguki file. Nikitaka kufungua inaniandikia "unable to open,File type not supported" waungwana je tatizo nini na nifanye je.thanks in advance
Third Eye JF-Expert Member Jan 8, 2012 373 209 Jul 4, 2012 #2 Naamini haina application husika yani pdf reader, jaribu kuzichek getjar au google with phone model, samahani natumia simu nimeshindwa kuweka link
Naamini haina application husika yani pdf reader, jaribu kuzichek getjar au google with phone model, samahani natumia simu nimeshindwa kuweka link