Tafadhali msaada kuhusu zoom

Tafadhali msaada kuhusu zoom

Elerai

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
474
Reaction score
139
Habar za leo ndugu zangu wa jf. Ninahitaji kuappy vacancy kweny zoom kuna nafasi nafiti sasa kasheshe hawajaweka direct wanasema "click to email" hapo ndo kazi inakuw ngumu nikiclick najiandikish then inarudi kulekule . kama kuna mtu anaweza kunisaidia ktk hli na anajua namna kuapply direct in zoom please i need help be blessed
 
Hapo pia ujiandae CV yako kuanikwa kwenye mtandao maana kuna watu walikuja kulalamika kuhusu CV zao kuwa accessed na mtu wowote.
 
zoom ni wazuri ila tatizo ni moja tu, kuweka mambo hadharani(cv yako) kitu ambacho watu wengi HAWAPENDAGI!.
 
totolucky ndo nani hapo zoom mawasiliano yake nawez kupata
 
Back
Top Bottom