DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,957
Mambo ya kutegemea kuokota Dodo chini ya Mwarobaini.Plain truth. Kinachowatesa watu wengi ni trauma bonding.
Ile kufikiria kuwa mpenz wake anaweza acha tabia fulan sababu mwanzon hakuwa hivyo.. siku zinakwrnda mtu habadiliki,hali ndio inazid kuwa mbaya..
Its time watu wa accept bayana kwamba mtu walie nae hawatendei haki. Na ni time to move on
For women, huwa wanatulia wakitarajia the man will change. Na wengine huingia kwenye ndoa wakijua atabadilika tu.Plain truth. Kinachowatesa watu wengi ni trauma bonding.
Ile kufikiria kuwa mpenz wake anaweza acha tabia fulan sababu mwanzon hakuwa hivyo.. siku zinakwrnda mtu habadiliki,hali ndio inazid kuwa mbaya..
Its time watu wa accept bayana kwamba mtu walie nae hawatendei haki. Na ni time to move on
Thats right. Istead of hoping for nothing watu itavid waukubal ulweli kuwa dam ni nyekundu haiwezi kubadilika kuwa maji period.For women, huwa wanatulia wakitarajia the man will change. Na wengine huingia kwenye ndoa wakijua atabadilika tu.
Wanaume on the other hand huwa wanavutiwa na mwanamke wakijua hatakuja kubadilika.
At the end of time, wanakuja kustuka when its rather late.
Marios hawana haki zaidi ya kuvumilia tu matunzo,It is the truth for real men but not "Marios"
[emoji53][emoji35]Marios hawana haki zaidi ya kuvumilia tu matunzo,
HahahahahaMarios hawana haki zaidi ya kuvumilia tu matunzo,
Alafu muda mwingine unaona kama ndio jinsi alivyo unajifunza kuchukuliana nae...na kusema huyu ndio alivyo na unaendelea kukaa kwenye maumivu. Sijui muda huo akili zinakuaga wapi??Ila tunahitaj zaidi akili kuliko kutumia nguvu sana, ukweli mtupu sisi wanawake hua tunaona atabadilika, sometimes unajitahidi na kumsemea juu, unakuta mtu habadiliki,tena ndio mambo yanakua yanaenda sivo, muhim kutambua tu mwanaume au mwanamke anaekupenda yuko tayar kubadilikika, asiekupenda atazidisha maudhi umchoke uende, tujue tu hawakua sahihi kwetu, na wakat mwengine mtu unayemuona anafaa ndio jnaepaswa kumuacha aende ukaishi maisha yako kabla hujachelewa
Ukiona marangi rangi dawa ni kupiga chini mapema na kukamata toto nyingine mara moja.Plain truth. Kinachowatesa watu wengi ni trauma bonding.
Ile kufikiria kuwa mpenz wake anaweza acha tabia fulan sababu mwanzon hakuwa hivyo.. siku zinakwrnda mtu habadiliki,hali ndio inazid kuwa mbaya..
Its time watu wa accept bayana kwamba mtu walie nae hawatendei haki. Na ni time to move on
This is true, compatibility ni muhimu sana aisee...kuvumilia incompatibility inaumizaga upande mmoja alwaysKuna watu masikini hawajua kama wanastahili yaliyo mema,.wanavumilia na kulea maumivu wakidhani mbele ya safari mambo yatabadilika...kitu chochote ili kiwe imara au kikue vzr ni "msingi" na sio msingi tuu,msingi imara...ukiona hamuelewani from the beginning au upendo wako unategemea upande mmoja lazima ujiulize mara mbilimbili,
Then,ukipewa mazuri hebu naww jaribu kutoa mazuri pia,.life is sooo beautiful mkielewana na kupendana kweli.