TADB: Niliwaonya sasa nawaonya tena

TADB: Niliwaonya sasa nawaonya tena

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,939
Reaction score
10,822
Siku za nyuma kidgo, niliwai kuonesha upotevu mkubwa wa fedha za umma,kutoka benki inayojitambulisha km benk ya wakulima dhidi ya mikopo waliyo itoa pale MKURA scheme!

Niliwambia waz kuwa fedha hizo hazitirud kwa wakat, na pengine walio zitoa hawataweza kuzipata kbsaa!leo hii nadhani niliyyasema yameanza kutimia.

Maana niliwambia kuwa kuna wananchi pale walipata mkopo ila hawana na hawajawai kuws na mashamba popote pale,nilisema msipo kuwa makini mtajikuta mnarudia makosa mliyoyafanya mkiwa watendaji wa TIB.

Nilienda mbar zaidi nikawataka muache kukaaa ofisini njoooni shamba na mjue project mnazozfanya sio tu mnakaaa ofisin tu muda wte.

Niliwambia hizo pesa hamtoweza kuzipata tena mkanitusi sanaaaa sasa leo nmeshangaaa heti mnamtuma kijana wenu afatilie madeni ndo kwanza anawaita wazee alio kula nao mgawo na kuanza kula nao vyombo na ss wakulim Tunaona.

Niwambie tu ili mfike kuweni wakweli ila mkienda km mnavofanya benki hiyo inaitaji mabadiliko ya mental and phisically,kama kilichofanywa TIB hakina budi kufanyika tena hapo TADB

Naskitika wakat mnatoa mikopo hamkuwahusisha mkuu wa wilaya leo hiii kimebuma heti ndo mnaenda kumwagia bomu ilo lenu mkuu wa wilaya huskubar kupokea bomu ilo.
 
Benk za kipigaji hizi enz hizo aise
 
Siku za nyuma kidgo, niliwai kuonesha upotevu mkubwa wa fedha za umma,kutoka benki inayojitambulisha km benk ya wakulima dhidi ya mikopo waliyo itoa pale MKURA scheme!

Niliwambia waz kuwa fedha hizo hazitirud kwa wakat, na pengine walio zitoa hawataweza kuzipata kbsaa!leo hii nadhani niliyyasema yameanza kutimia.
Mkuu, nakumbuka kama niliwahi kuuona uzi wa namna hiyo... Kweli kukaa kwao ofisini kwenye viyoyozi na uvivu wa kwwenda vijijini kujionea hali halisi ndio umewaponza...
 
Kweli mkuu niliuweka humu uzi huo na wakaja humu ndani wakanishambulia sanaaa kwa matusi na kejeri sass nmehangaaa hetibwanamtuma mkuuu wa wilaya afatilie madeni kupitia police,yani watu hawa ni wabaya kuliko sumu, na pesa nyingi ililiwa hapo hapo benk wkulima walipata ila ni pesa kidgo sanaaa
 
Wapigwe tuu hao wapuuzi. Niliwahi kwenda na project proposal yangu pamoja na dhamana isiyohamishika ya 120million nipate mkopo wa 30million kupanua mradi wangu wa kilimo unaoendelea nikazungushwa sana eti ni lazima tujiunge tuwe kikundi. Mimi nina ekari zangu 70 unaniambia niungane na watu tuwe kikundi ili iweje? Kama hakuna waliotayari kuwekeza kwenye kilimo mimi ningewapata wapi? Namshukuru Mungu nilifanikiwa mkopo toka bank nyingine. Nawachukia sana hawa TADB.
 
Watu wa recovery wasingoje watu wa default ndio washituke, wafanye close supervision kwa wakopaji na wahakikishe wakopaji wanatimiza malengo ya mikopo yao
Ile benki, ilikosea tangu mwanzo,ikumbukwe na wtendaji wengi wa benki ile walitoka TIB under the very goood memo,sasa TIB menejment yote imevunjwa kwa upotevu mkubwa wa fedha,kinachotakiwa kufanyika ni kuondoabwatendaji haraka kbla hali haijawa mbaya ila hapa mkura hakuna pesa itakayolipwa maana fedha walizozitoa nyingi hazikuingia kwwny kilimo, na nyingine watendajibwaligawana nabwakulima ndio maana huyo recovery person akija huku anawaita wazee na kukaaa nao baa na kuanza kunywa ili wasje toa siri.

Sisi wakulima tunajua na tunaona!
Wapigwe tuu hao wapuuzi. Niliwahi kwenda na project proposal yangu pamoja na dhamana isiyohamishika ya 120million nipate mkopo wa 30million kupanua mradi wangu wa kilimo unaoendelea nikazungushwa sana eti ni lazima tujiunge tuwe kikundi. Mimi nina ekari zangu 70 unaniambia niungane na watu tuwe kikundi ili iweje? Kama hakuna waliotayari kuwekeza kwenye kilimo mimi ningewapata wapi? Namshukuru Mungu nilifanikiwa mkopo toka bank nyingine. Nawachukia sana hawa TADB.
 
Wapigwe tuu hao wapuuzi. Niliwahi kwenda na project proposal yangu pamoja na dhamana isiyohamishika ya 120million nipate mkopo wa 30million kupanua mradi wangu wa kilimo unaoendelea nikazungushwa sana eti ni lazima tujiunge tuwe kikundi. Mimi nina ekari zangu 70 unaniambia niungane na watu tuwe kikundi ili iweje? Kama hakuna waliotayari kuwekeza kwenye kilimo mimi ningewapata wapi? Namshukuru Mungu nilifanikiwa mkopo toka bank nyingine. Nawachukia sana hawa TADB.
Kaka pole,hukujiongeza mkuu ungefNikiwa mkuu.hao ww ulitakiwa useme unataka 30 ila 20 itabaki kwao fasta ungefAnikiwa maana mkurs ndo hulikuwa mwendo huo
 
Wapigwe tuu hao wapuuzi. Niliwahi kwenda na project proposal yangu pamoja na dhamana isiyohamishika ya 120million nipate mkopo wa 30million kupanua mradi wangu wa kilimo unaoendelea nikazungushwa sana eti ni lazima tujiunge tuwe kikundi. Mimi nina ekari zangu 70 unaniambia niungane na watu tuwe kikundi ili iweje? Kama hakuna waliotayari kuwekeza kwenye kilimo mimi ningewapata wapi? Namshukuru Mungu nilifanikiwa mkopo toka bank nyingine. Nawachukia sana hawa TADB.
Mkuu mimi nilikwama pia kigezo cha kujiunga kikundi ambacho kimesajiriwa na kimefanyiwa hesabu za miaka 3 au zaidi. Kwanza huko vijijini watu wanaogopa hii mikopo hawaitaki. Wakisikia wewe mgeni kwenye kikundi unachukua pesa ndefu kama mara 4 zaidi ya uwezo wao watakukatalia tu. Maana hapo technically kikundi ndio kinakudhamini. Hii kitu iangaliwe upya. Mtu anaetaka 60 hadi 100 Milioni hawezi kuungana na wanao ogopa kukopa 6 milioni.
 
Ndugu Yangu Naona leo Umekuja na Hoja Ya Benki ya Wakulima Kutukopesha Sisi wakulima mimi labda Nikwambie kwa sisi watu wa Kilombelo tunafahamu Vyama Vingi vya Huku Vilivyo Unaongelea Habari ya Scheme ya Mkula ambayo Imewezeshwa Mashine na Godown Lakini Imeshindwa Kuviendesha.. Mi nachokuomba Njoo tutembelee wakulima wa Miwa Tulipewa Mkopo na sasa Tunafanya Nini?? Hapo Unapopataja Shida iko kwa Uongozi Wa Scheme Nadhani walipokopeshwa Fedha Walidhani wanagaiwa Fedha za Bure za Rais Jakaya Wakasahau Hii ni Benki inayotupatia Mikopo kwa Riba Nafuu baadaya Kilio chetu cha Muda Mrefu hata Mimi nina Shamba Mkula na Naijua Shida iliyopo Sasa wameona Tunalazimishwa Kulipa Ndio Tunaanza Kuongea hayo Mambo Ambayo nadhani Tunataka Tuu Kuichafua Benki wakati Shida ipo kwenye Uongozi wa Wamwagiliaji Wao ndio waliokuwa wanajua wanachama wao nani analima na nani Halimi Mbona huku kwenye Miwa Tumekuwa wa kweli Na Project zetu zinaonekana.. Hii ni kutokana na Viongozi wetu kuwa wakweli Maana kati ya Benki na Kikundi nani anawajua wakulima.. Narudia tena njoo Ututembelee Kwenye Miwa Uone ndio Uanze kulaumu tatizo la Mkula Najua Unajua Uhalisia Wa huko Mkula Mimi pia Nalima Mpunga Huko na Naona Kinachoendelea n Ndio maana Hata Uongozi Tumebadilisha Kwa sababu Hizo hizo na Pia Wacha Mkuu Wa Wilaya Asaidie hata Polisi Pia Maana Mkula tumezidi maneno ya Umbea Tukisahau kama fedha ni za Mkopo sio mgao wa Bure tulivyonavyo tuu Vilitushinda mpaka Mashine Zinakufa Tunaziangalia Sijui afufuke nani atusaidie Adui wa Mkula Ni sisi wenyewe wakulima hata Aje Yesu Hatuwezi Kubebeka Mimi Pia Nilikosa Mkopo na walionikata ni Viongozi wa Scheme kwani wao ndio waliopokea Pesa na Pia Kutuombea Mkopo Nawashukuru sana watu wa Benki kwa ajili ya Ufuatiliaji na Ndugu yangu kama Ni wewe au ndugu yako alikopeshwa Huku kwenye Scheme ni kumshauri tuu alipe ili wengine Tukopeshwe maana Wametuharibia Sana Nashkuru na waziriMkuu kaongelea Viongozi kama Hawa kwenye Vyama vya Wakulima Sina Shida na Kwenye Miwa ila Kwenye Mpunga Viongozi Hatuna Njoo tupambane Huku Shambani na Jongozi wetu ili tupate Maendeleo na si tuanze kulaumu waliokuja Mpaka huku Kutuletea Fedha....
Siku za nyuma kidgo, niliwai kuonesha upotevu mkubwa wa fedha za umma,kutoka benki inayojitambulisha km benk ya wakulima dhidi ya mikopo waliyo itoa pale MKURA scheme!

Niliwambia waz kuwa fedha hizo hazitirud kwa wakat, na pengine walio zitoa hawataweza kuzipata kbsaa!leo hii nadhani niliyyasema yameanza kutimia.

Maana niliwambia kuwa kuna wananchi pale walipata mkopo ila hawana na hawajawai kuws na mashamba popote pale,nilisema msipo kuwa makini mtajikuta mnarudia makosa mliyoyafanya mkiwa watendaji wa TIB.

Nilienda mbar zaidi nikawataka muache kukaaa ofisini njoooni shamba na mjue project mnazozfanya sio tu mnakaaa ofisin tu muda wte.

Niliwambia hizo pesa hamtoweza kuzipata tena mkanitusi sanaaaa sasa leo nmeshangaaa heti mnamtuma kijana wenu afatilie madeni ndo kwanza anawaita wazee alio kula nao mgawo na kuanza kula nao vyombo na ss wakulim Tunaona.

Niwambie tu ili mfike kuweni wakweli ila mkienda km mnavofanya benki hiyo inaitaji mabadiliko ya mental and phisically,kama kilichofanywa TIB hakina budi kufanyika tena hapo TADB

Naskitika wakat mnatoa mikopo hamkuwahusisha mkuu wa wilaya leo hiii kimebuma heti ndo mnaenda kumwagia bomu ilo lenu mkuu wa wilaya huskubar kupokea bomu ilo.
 
Kwanini awataki kukopesha mtu mmoja mmoja hata kama una dhamana?
 
Ndugu Yangu Naona leo Umekuja na Hoja Ya Benki ya Wakulima Kutukopesha Sisi wakulima mimi labda Nikwambie kwa sisi watu wa Kilombelo tunafahamu Vyama Vingi vya Huku Vilivyo Unaongelea Habari ya Scheme ya Mkula ambayo Imewezeshwa Mashine na Godown Lakini Imeshindwa Kuviendesha.. Mi nachokuomba Njoo tutembelee wakulima wa Miwa Tulipewa Mkopo na sasa Tunafanya Nini?? Hapo Unapopataja Shida iko kwa Uongozi Wa Scheme Nadhani walipokopeshwa Fedha Walidhani wanagaiwa Fedha za Bure za Rais Jakaya Wakasahau Hii ni Benki inayotupatia Mikopo kwa Riba Nafuu baadaya Kilio chetu cha Muda Mrefu hata Mimi nina Shamba Mkula na Naijua Shida iliyopo Sasa wameona Tunalazimishwa Kulipa Ndio Tunaanza Kuongea hayo Mambo Ambayo nadhani Tunataka Tuu Kuichafua Benki wakati Shida ipo kwenye Uongozi wa Wamwagiliaji Wao ndio waliokuwa wanajua wanachama wao nani analima na nani Halimi Mbona huku kwenye Miwa Tumekuwa wa kweli Na Project zetu zinaonekana.. Hii ni kutokana na Viongozi wetu kuwa wakweli Maana kati ya Benki na Kikundi nani anawajua wakulima.. Narudia tena njoo Ututembelee Kwenye Miwa Uone ndio Uanze kulaumu tatizo la Mkula Najua Unajua Uhalisia Wa huko Mkula Mimi pia Nalima Mpunga Huko na Naona Kinachoendelea n Ndio maana Hata Uongozi Tumebadilisha Kwa sababu Hizo hizo na Pia Wacha Mkuu Wa Wilaya Asaidie hata Polisi Pia Maana Mkula tumezidi maneno ya Umbea Tukisahau kama fedha ni za Mkopo sio mgao wa Bure tulivyonavyo tuu Vilitushinda mpaka Mashine Zinakufa Tunaziangalia Sijui afufuke nani atusaidie Adui wa Mkula Ni sisi wenyewe wakulima hata Aje Yesu Hatuwezi Kubebeka Mimi Pia Nilikosa Mkopo na walionikata ni Viongozi wa Scheme kwani wao ndio waliopokea Pesa na Pia Kutuombea Mkopo Nawashukuru sana watu wa Benki kwa ajili ya Ufuatiliaji na Ndugu yangu kama Ni wewe au ndugu yako alikopeshwa Huku kwenye Scheme ni kumshauri tuu alipe ili wengine Tukopeshwe maana Wametuharibia Sana Nashkuru na waziriMkuu kaongelea Viongozi kama Hawa kwenye Vyama vya Wakulima Sina Shida na Kwenye Miwa ila Kwenye Mpunga Viongozi Hatuna Njoo tupambane Huku Shambani na Jongozi wetu ili tupate Maendeleo na si tuanze kulaumu waliokuja Mpaka huku Kutuletea Fedha....
Ndugu Yangu Naona leo Umekuja na Hoja Ya Benki ya Wakulima Kutukopesha Sisi wakulima mimi labda Nikwambie kwa sisi watu wa Kilombelo tunafahamu Vyama Vingi vya Huku Vilivyo Unaongelea Habari ya Scheme ya Mkula ambayo Imewezeshwa Mashine na Godown Lakini Imeshindwa Kuviendesha.. Mi nachokuomba Njoo tutembelee wakulima wa Miwa Tulipewa Mkopo na sasa Tunafanya Nini?? Hapo Unapopataja Shida iko kwa Uongozi Wa Scheme Nadhani walipokopeshwa Fedha Walidhani wanagaiwa Fedha za Bure za Rais Jakaya Wakasahau Hii ni Benki inayotupatia Mikopo kwa Riba Nafuu baadaya Kilio chetu cha Muda Mrefu hata Mimi nina Shamba Mkula na Naijua Shida iliyopo Sasa wameona Tunalazimishwa Kulipa Ndio Tunaanza Kuongea hayo Mambo Ambayo nadhani Tunataka Tuu Kuichafua Benki wakati Shida ipo kwenye Uongozi wa Wamwagiliaji Wao ndio waliokuwa wanajua wanachama wao nani analima na nani Halimi Mbona huku kwenye Miwa Tumekuwa wa kweli Na Project zetu zinaonekana.. Hii ni kutokana na Viongozi wetu kuwa wakweli Maana kati ya Benki na Kikundi nani anawajua wakulima.. Narudia tena njoo Ututembelee Kwenye Miwa Uone ndio Uanze kulaumu tatizo la Mkula Najua Unajua Uhalisia Wa huko Mkula Mimi pia Nalima Mpunga Huko na Naona Kinachoendelea n Ndio maana Hata Uongozi Tumebadilisha Kwa sababu Hizo hizo na Pia Wacha Mkuu Wa Wilaya Asaidie hata Polisi Pia Maana Mkula tumezidi maneno ya Umbea Tukisahau kama fedha ni za Mkopo sio mgao wa Bure tulivyonavyo tuu Vilitushinda mpaka Mashine Zinakufa Tunaziangalia Sijui afufuke nani atusaidie Adui wa Mkula Ni sisi wenyewe wakulima hata Aje Yesu Hatuwezi Kubebeka Mimi Pia Nilikosa Mkopo na walionikata ni Viongozi wa Scheme kwani wao ndio waliopokea Pesa na Pia Kutuombea Mkopo Nawashukuru sana watu wa Benki kwa ajili ya Ufuatiliaji na Ndugu yangu kama Ni wewe au ndugu yako alikopeshwa Huku kwenye Scheme ni kumshauri tuu alipe ili wengine Tukopeshwe maana Wametuharibia Sana Nashkuru na waziriMkuu kaongelea Viongozi kama Hawa kwenye Vyama vya Wakulima Sina Shida na Kwenye Miwa ila Kwenye Mpunga Viongozi Hatuna Njoo tupambane Huku Shambani na Jongozi wetu ili tupate Maendeleo na si tuanze kulaumu waliokuja Mpaka huku Kutuletea Fedha....
Chipakati, watu walishazoea kupata fedha za bure. Hali hii ilipelekea kutokuwa na nidhamu katika usimamizi wa fedha. Upumbavu kama huu ndo unapelekea wahitimu wengi kuichukia Bodi ya Mikopo. Jamani, tukikopa tuwe na nidhamu ya kulipa. Muda wa 'Sadakalawe' na 'Mashamba ya Bibi umeisha'. Tukikopa tulipe la sivyo tutawajibika tu.
 
Eti lazima ujiunge kwenye vikundi wamegeuka Finca hiyo benki.
Walinizungusha mwaka mzima sina hamu nao.
 
Ndugu Yangu Naona leo Umekuja na Hoja Ya Benki ya Wakulima Kutukopesha Sisi wakulima mimi labda Nikwambie kwa sisi watu wa Kilombelo tunafahamu Vyama Vingi vya Huku Vilivyo Unaongelea Habari ya Scheme ya Mkula ambayo Imewezeshwa Mashine na Godown Lakini Imeshindwa Kuviendesha.. Mi nachokuomba Njoo tutembelee wakulima wa Miwa Tulipewa Mkopo na sasa Tunafanya Nini?? Hapo Unapopataja Shida iko kwa Uongozi Wa Scheme Nadhani walipokopeshwa Fedha Walidhani wanagaiwa Fedha za Bure za Rais Jakaya Wakasahau Hii ni Benki inayotupatia Mikopo kwa Riba Nafuu baadaya Kilio chetu cha Muda Mrefu hata Mimi nina Shamba Mkula na Naijua Shida iliyopo Sasa wameona Tunalazimishwa Kulipa Ndio Tunaanza Kuongea hayo Mambo Ambayo nadhani Tunataka Tuu Kuichafua Benki wakati Shida ipo kwenye Uongozi wa Wamwagiliaji Wao ndio waliokuwa wanajua wanachama wao nani analima na nani Halimi Mbona huku kwenye Miwa Tumekuwa wa kweli Na Project zetu zinaonekana.. Hii ni kutokana na Viongozi wetu kuwa wakweli Maana kati ya Benki na Kikundi nani anawajua wakulima.. Narudia tena njoo Ututembelee Kwenye Miwa Uone ndio Uanze kulaumu tatizo la Mkula Najua Unajua Uhalisia Wa huko Mkula Mimi pia Nalima Mpunga Huko na Naona Kinachoendelea n Ndio maana Hata Uongozi Tumebadilisha Kwa sababu Hizo hizo na Pia Wacha Mkuu Wa Wilaya Asaidie hata Polisi Pia Maana Mkula tumezidi maneno ya Umbea Tukisahau kama fedha ni za Mkopo sio mgao wa Bure tulivyonavyo tuu Vilitushinda mpaka Mashine Zinakufa Tunaziangalia Sijui afufuke nani atusaidie Adui wa Mkula Ni sisi wenyewe wakulima hata Aje Yesu Hatuwezi Kubebeka Mimi Pia Nilikosa Mkopo na walionikata ni Viongozi wa Scheme kwani wao ndio waliopokea Pesa na Pia Kutuombea Mkopo Nawashukuru sana watu wa Benki kwa ajili ya Ufuatiliaji na Ndugu yangu kama Ni wewe au ndugu yako alikopeshwa Huku kwenye Scheme ni kumshauri tuu alipe ili wengine Tukopeshwe maana Wametuharibia Sana Nashkuru na waziriMkuu kaongelea Viongozi kama Hawa kwenye Vyama vya Wakulima Sina Shida na Kwenye Miwa ila Kwenye Mpunga Viongozi Hatuna Njoo tupambane Huku Shambani na Jongozi wetu ili tupate Maendeleo na si tuanze kulaumu waliokuja Mpaka huku Kutuletea Fedha....
Ndugu chipakati nielewe hoja yangu inakenga nn?lakin pia ww unadhani ninailaumu benki ya kilimo mm nina walaumu watendaji wa benki hii maana wakat wanaaanza operation tuliwaonya wasfanye ujinga kama ulio fanywa na watendaji wa TIB, au wasirudie ujinga mkubwa uliofanywa na TEMU na mwenzake na wenzekar wengi kutoka CRDB najua ww ni mnufaika wa mikopo ya miwa kutoka crdb kupitia vyama vya ushirika ila kwa nn hamkulipa kwa wakati ingawa pesa mliyokopeshwa sehemu kubwa ilibakia crdb?je benki ya kilimo utapingana na mm kuwa imerudia makosa ua crdb na TIB na mwishowe changamoto kwa wakulima ziko pale pale?

Changamoto za kilimo cha miwa zilijulikana hasa zile za kilombero sugar industry sasa zmetatuliwa zote?km bdo hazijatatuliwa hata pesa ya benki ya kilimo kwends kwa wakulima wa miwa haitatuliwa,nipongeze serikali ua awamu ya tano walau imeziba mianyanya watu kuagiza sukar nje hapo tutaweza nunua sukar na miwa yenu nyie wakulima chipakat ukumbuke kuwa zaman kiwanda cha sukar kilivuna miwa yake,baada ya hapo wanavuna ya mzee mkapa,baada ya hapo wanamvunia mzee mwarabu wa sanje?sasa hapo ww na mm kjamba nani tutavuniwa lini?mbaya zaia wlanguz wa sukar wakina menji walienda mbar na kuka kwwny viwanda hiv na kuonga fedha kwa mainjinia na mameneja ili msivuniwe ili hao walanguz wanunue nje hata ili hulijuo ndugu? Kama changa moto hiz hatujazitatua bado hali itakuwa ni mbaya,pongez tena serikali hii ijenge viwanda vya sukari ili kuepusha changamoto.

Mwisho nyiny wakulima jueni haki zenu, unatetea hoja za benki yankilimo hujui pesa ikipotea ni mali yako ww unadhani ni mali ya magu na wenzako jifunze karbu sanaaaa mangula karbu kibanda cha kahawa
 
Chipakati umelipa mkopo wa miwa wa crdb? Haahahahaha kama ujalipa jipange kaka project ya miwa haijawai muacha mtu salama
 
KUNA KITAASISI KINGINE KINAITWA UTT MICROFINANCE NASKIA MAKAO YAKE NI DAR ...NACHO NI JIPU,KINAGAWA TUU HELA MTAANI KWA WATU WA AJABU AJABU HADI WAUZA BANGI NA WAKUU WAKE KADHAA WAMEPIGA SANA DILI KUPITIA VIKAMPUNI VYA MITAANI NA VISACKOSI.WAMEANZA KUFUKUZANA NASIKIA .KUNA OMBWE KUBWA LA UONGOZI WA KIKAMPUNI HICHI....SERIKALI INGEKUWA MAKINI WANGEKIUA TU
 
Chipakati umelipa mkopo wa miwa wa crdb? Haahahahaha kama ujalipa jipange kaka project ya miwa haijawai muacha mtu salama
Ndugu yangu Sifi leo Ntakuja Kijiweni Mang'ula Kutembea Ila Nanshukuru Mungu Nimekuwa Na Kipaumbele Cha Kulipa Mikopo Hasa Hii ya Miwa Najua Mikopo Haijawahi kumuacha Mtu salama Hasa Tunapoweka Dhamana Haya Mashamba Yetu Na Ujanajua Pia Ugumu wa Kulipata Shamba la Miwa Najutahidi sana Napochukua Mkopo Kucheza na Miwa Na Mpunga So Kuna Muda Kimoja Kinambeba Mwenzake. Ki ukweli watu wa Mkula Scheme hasa Viongozi waliniuzi sana Wanajua Nina Shamba na Nina Lima wakakaya Majina Na Kuweka Ndugu na Jamaa zao wenginr hawana Hata Mashamba Sasa hv Linawakuya la Kuwakuta eti wanaanza Kukimbia Tulipiga sana Kelele ila Namshukuru Mkuu wa Wilaya Kusimamka Zoezi la Uchaguzi angala Sasa Uongozi Mpya Unajitahidi Kusafisha Uchafu uliokuwa unafanywa Viongozi wetu wengi wa Vyama vya wakulima Shule ndogo na wengine uwezo wa Kufikiri Yaani Hapa Mkula Niliukia sana Kuziona Mashine tulizopewa Kwa Msaada zinakufa Tena Bado Mpya Ila aliyekuja sasa kazifufua Namsifia kwa Hilo.... Karibu na Wewe Miwangani Tuhangaike na Miwa.....
 
mi

mim ni mkufunzi wa ushirika nataman vyama vyenu hivyo navyo vibadilike viwe na nguvu km ushirika.
 
Back
Top Bottom