Tabora mjini mabomu yanalindima mda huu

Tabora mjini mabomu yanalindima mda huu

Joined
May 20, 2014
Posts
31
Reaction score
8
Wananchi wa Tabora njiani wamezingira kituo cha kutangazia matokeo huku wakimtaka msimamizi kumtangaza haraka mshindi ambaye wanadai ni bwana Peter Mkufya kupitia CUF Kashinda July wakiogopa kuwa CCM wanataka kuhujumu matokeo baada ya mgombea wa CCM kudaiwa kugomea matokeo, ndipo jeshi la polisi liliamua kuwatawanya ili kuepusha fujo hizo, sasa hizi mitaa ya Kazima hapakaliki milio ya mabomu imetawala.
 
Aisee ccm ni janga kuliko ukimwi malaria dengue inabidi tuombe msaada USA daa nnahasira nao hawa wangese
 
yaanu hawa pinzani vp huku mbey pia mpinzan hp mjin hatki kusain akati kashindwa
 
Najiuliza, kwa nini ccm hamtaki kukubali kushindwa ila mnataka wenzenu waweke sahihi zao haraka?? Angalia kule Tanga, Nundu anakataa mpaka aje kubembelezwa, angalia kule Moshi yaani ccm ni taab tupu. Angalia Shinyanga. Jaman asekubai kushindwa si mshindani.
 
mkuu ukisema ukweli.utapungukiwa nini.
NUNDU kakubali matokeo mapema na kusema anaenda kuendelea na kazi zake ila.wewe unaleta.story za.ajabu
 
Mapambano bado yanaendelea uku baina ya polisi na wananchi ni mabomu ya machozi tuu.
 
mkuu ukisema ukweli.utapungukiwa nini.
NUNDU kakubali matokeo mapema na kusema anaenda kuendelea na kazi zake ila.wewe unaleta.story za.ajabu
Basi nafikiri vyombo vya habari ndiyo vimeripoti vibaya. Vilisema walenda viongozinw a serikali na chama kumwomba akubali nfiyo akakubali! Ilinishangaza kifogo kwa jinsi ninavyomfahamu Mh. Nundu
 
Back
Top Bottom