BABA Dillish JF-Expert Member Joined Jan 20, 2016 Posts 2,550 Reaction score 3,467 Aug 24, 2022 #61 Banjuka said: Labda hela ya siku 20 imekata na madeni juu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nasikia alipoteza kishikwambi so ikawa ngumu kusolve. Ni mwl nasikia hivyo. Stress management skills na conflict skills zinahitajika.
Banjuka said: Labda hela ya siku 20 imekata na madeni juu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nasikia alipoteza kishikwambi so ikawa ngumu kusolve. Ni mwl nasikia hivyo. Stress management skills na conflict skills zinahitajika.
kinjekitile70 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 1,071 Reaction score 1,428 Aug 25, 2022 Thread starter #62 Mwingine naye leo kakamatwa mbeya alichukua shilingi laki sita 600000 Awamu ya kwanza akaingia mitini Then awamu ya pili ya malipo akaja chukukua nyingine,hatimaye akaibukia mikononi mwa makarao kwa kula mali asiyoifanyia kazi
Mwingine naye leo kakamatwa mbeya alichukua shilingi laki sita 600000 Awamu ya kwanza akaingia mitini Then awamu ya pili ya malipo akaja chukukua nyingine,hatimaye akaibukia mikononi mwa makarao kwa kula mali asiyoifanyia kazi
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,307 Reaction score 18,707 Aug 25, 2022 #63 Kama alijua ana mpango wa kujinyonga kwann aliomba nafasi ya Kazi ajui kawabania wengine nafasi
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,582 Reaction score 14,654 Aug 25, 2022 #64 Tatizo la self awareness kwa watanzania ni kubwa sana yaani mtu kahitimu chuo wengine watumishi wa uma anaibiwa kishikwambi kirahisi hvyo.
Tatizo la self awareness kwa watanzania ni kubwa sana yaani mtu kahitimu chuo wengine watumishi wa uma anaibiwa kishikwambi kirahisi hvyo.