TABOA: Hatutaruhusu magari

Kwa utafiti mdogo 80% ya mizigo inayotoka Dar huwa inapita kwenda nchi jirani Malawi, Zambia, Zimbabwe, Congo (RDC), Burundi na Rwanda. Rejea ramani na mitandao ya reli utapata jibu
Acha sanaa, huduma ya reli ni kama 2% ya mahitai mazima ya usafirishaji. Jiulize ulichokula leo kimeletwa na treni? Waliokileta wakigoma, utakula kucha?
 
Khaa!! Nyie vipi bana? Mbona mnataka kuwa kama popo? Demokrasia maana yake wengi wape (bila kujali kama wapo sawa au wamekosea). Sasa kama wengi wakiipitisha kwa ndiyo halafu wahuni wachache wanaojifanya hawajui democracy wakileta fujo basi ni haki yao kula kichapo tu. hatuwezi kulipeleka taifa letu kwenye machafuko kwasababu ya wahuni wachache wasioitambua demokrasia:glasses-nerdy:
 
Acha sanaa, huduma ya reli ni kama 2% ya mahitai mazima ya usafirishaji. Jiulize ulichokula leo kimeletwa na treni? Waliokileta wakigoma, utakula kucha?
Khaa!! bado unajichanganya nadhani bado hujajua vizuri mambo yanavyoenda. Jifunze jinsi ya huduma za usafirishaji unavyoenda kwa malori makubwa, madogo, pickups, bodaboda hadi maguta. Utaelewa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…