Tablet inauzwa

Tablet inauzwa

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,372
Reaction score
1,207
Kwa wale wapenzi wa it tools wazee wa kwenda na wakati na ulimwengu huu wa kidijitali, ninauza tablet yangu nliyoitumia kwa mwez mmoja tu tangu niinunue dukani.
Tablet ni aina ya evoq (kampuni toka london) inatumia android os, ina bluetooth, 3g, wifi access, ram 1gb, internal memory 14gb pia ina pot ya ku-insert laini ya sim (kama utatumia bando ya sim) bei ni shilingi lakimbili tu! Kwa atakae hitaji nichek kupitia 0654 108183 au 0682 435709 karibu sana!!
 

Attachments

  • 1415939020632.jpg
    1415939020632.jpg
    55.4 KB · Views: 302
Niko morogoro wakuu, lakini umbali sio tatizo bado tunaweza fanya biashara wewe uko wapi? Robby junior
 
Last edited by a moderator:
Soma hiyo post vizuri mkuu nimetaja bei @llisolokobwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom