Tablet inahitajika haraka


pole na asante kwa ushauri mkuu, hilo nalifahamu lilimkuta jamaa yangu pia.
ndio maana nimetarget mpya maana humu kuna watu wana maduka ya simu, used ntachukua kama imekosekana kabisa mpya.
 
Pole sana lakini kuna uzi upo hapa na wewe ulikua unauza laptop au ilikua kabla hujakumbana na mkasa? Kama unaogopa kununua mali kwa mtu mtandaoni nilitegemea pia utaogopa na wewe kuuza mali zako mtandaoni
Nauza Laptop, nipo Dodoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…