Specs mpaka niangalie sijawahi kutumia ila unaweka line 2 na memory card pia ina Bluetooth keypads, nilitoka nayo nje miezi 4 imepita. Ila mi sio mfanyabiashara...imetumika muda gan, specs zake zikoje mkuu
Pole sana lakini kuna uzi upo hapa na wewe ulikua unauza laptop au ilikua kabla hujakumbana na mkasa? Kama unaogopa kununua mali kwa mtu mtandaoni nilitegemea pia utaogopa na wewe kuuza mali zako mtandaoniMkuu nilinunua simu kama hiv hiv, kumbe in ya mbio bana, najua unajua kale ka mtindo ka kutrack, hesabu yaliyonipata
1. Nililala sero kwa Mara ya kwanza maishani
2. Nilipata typhoid mule ndani
3. Simu ilienda na nilinunua 600k
4. Nilitoa M6 iliyodaiwa kuibiwa na Cm
5. Nilitoa lak 5 kama usumbufu
6. Nilikosa mtihan wa interview
7. Ngoja niishie hapo ila asaiv hata kichwa cha usb sinunui kwa mtu.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Nani kakupa hela ya kununua hiyo tablet?Wakuu habari?nahitaji tablet mpya au used ila isiwe na muda mrefu nina 200k,
ukiwa dsm itapendeza zaidi
Hii ndio JF banaPole sana lakini kuna uzi upo hapa na wewe ulikua unauza laptop au ilikua kabla hujakumbana na mkasa? Kama unaogopa kununua mali kwa mtu mtandaoni nilitegemea pia utaogopa na wewe kuuza mali zako mtandaoni
Nauza Laptop, nipo Dodoma
Good advice!Mkuu nilinunua simu kama hiv hiv, kumbe in ya mbio bana, najua unajua kale ka mtindo ka kutrack, hesabu yaliyonipata
1. Nililala sero kwa Mara ya kwanza maishani
2. Nilipata typhoid mule ndani
3. Simu ilienda na nilinunua 600k
4. Nilitoa M6 iliyodaiwa kuibiwa na Cm
5. Nilitoa lak 5 kama usumbufu
6. Nilikosa mtihan wa interview
7. Ngoja niishie hapo ila asaiv hata kichwa cha usb sinunui kwa mtu.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Nina yo x-tigi joy 8Wakuu habari?nahitaji tablet mpya au used ila isiwe na muda mrefu nina 200k,
ukiwa dsm itapendeza zaidi
Kwa sasa nipo mbali kikazi ntakutafuta next week hautojali.sawa mkuu,tuwasiliane
Kwa sasa nipo mbali kikazi ntakutafuta next week hautojali.sawa mkuu,tuwasiliane
Hujakoseaaa, ile ina miez minne tangu niuze kipindi nipo dom, simu nimepigwa mwezi wa nane. Naweza nikakushauri hata Mimi nikija kukuuzia kitu n vzr ukadai reseat na makabidhiano ya kimaandishi au kamavipi tukauziane polisiPole sana lakini kuna uzi upo hapa na wewe ulikua unauza laptop au ilikua kabla hujakumbana na mkasa? Kama unaogopa kununua mali kwa mtu mtandaoni nilitegemea pia utaogopa na wewe kuuza mali zako mtandaoni
Nauza Laptop, nipo Dodoma